Jumapili, 14 Januari 2018

Amri za Enzi Mpya | Umeme wa Mashariki

Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu
Amri za Enzi Mpya | Umeme wa Mashariki

Amri za Enzi MpyaUmeme wa Mashariki


Mwenyezi Mungu alisema, Mmeambiwa kuwa mjiandae kwa maneno ya Mungu, ya kuwa pasipo kujali kilichoandaliwa juu yenu, yote yamepangwa kwa mkono wa Mungu, na kwamba hakuna haja ya kuomba kwa bidii au kusali kwenu—haina maana. Ilhali kulingana na hali ya sasa, shida za kiutendaji mnazokumbana nazo hazitafakariki kwenu. Kama mnasubiri mipango ya Mungu tu, basi hatua zenu zitakaa zaidi, na kwa wale wasiojua kupitia kutakuwa na kulaza damu kwingi.

Jumamosi, 13 Januari 2018

Safina ya Siku za Mwisho | “Siku za Nuhu Zimekuja” Swahili Gospel Video


Safina ya Siku za Mwisho | “Siku za Nuhu Zimekuja” Swahili Gospel VideoUmeme wa Mashariki

Hebu tumwangalie mwanadamu wakati wa enzi ya Nuhu. Mtu alishiriki katika kila aina ya utendaji wa maovu akikosa kufikiria toba. Hakuna aliyesikiliza neno la Mungu. Ugumu na uovu wao uliamsha hasira ya Mungu na mwishoni, walimezwa na maafa ya mafuriko makuu. Nuhu na familia yake ya watu nane pekee ndio walisikiliza neno la Mungu na walikuwa na uwezo wa kuishi. Sasa, siku za mwisho zimeshafika. Upotovu wa mwanadamu unakuwa mwingi zaidi na zaidi. Kila mtu huyatukuza mabaya. Dunia nzima ya dini hufuata wimbi la ulimwengu.

Ijumaa, 12 Januari 2018

Tamko la Kumi na Saba | Umeme wa Mashariki

Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu
Tamko la Kumi na Saba | Umeme wa Mashariki

Tamko la Kumi na SabaUmeme wa Mashariki


Mwenyezi Mungu alisema, Sauti Yangu inatoka kama radi, ikitia nuru roboduara zote nne na dunia nzima, na katikati ya radi na umeme, binadamu wanaangushwa chini. Hakuna mwanadamu aliyewahi kusimama imara katikati ya radi na umeme: Wanadamu wengi wanaogopa sana kuja kwa mwangaza Wangu na hawajui cha kufanya. Wakati mwangaza hafifu unaanza kuonekana Mashariki, watu wengi, wakiongozwa na huu mng’ao dhaifu, wanaamshwa mara moja kutoka kwa njozi zao.

Alhamisi, 11 Januari 2018

Tamko La Kumi Na Sita | Umeme wa Mashariki

Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu
Tamko La Kumi Na Sita | Umeme wa Mashariki

Tamko La Kumi Na SitaUmeme wa Mashariki


Mwenyezi Mungu alisema, Kuna mengi ambayo Natamani kumwambia mwanadamu, mambo mengi sana ambayo lazima Nimwambie. Lakini uwezo wa mwanadamu wa kukubali una upungufu mwingi: Hana uwezo wa kuyaelewa kabisa maneno Yangu kulingana na kile Ninachokitoa, na anaelewa kipengele kimoja tu lakini haelewi vingine. Lakini Simwangamizi mwanadamu kwa ajili ya ukosefu wake wa nguvu, wala Siudhiki na udhaifu wake.

Jumatano, 10 Januari 2018

Tamko La Kumi na Tano | Umeme wa Mashariki

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu
Tamko La Kumi na Tano | Umeme wa Mashariki

Tamko La Kumi na TanoUmeme wa Mashariki


Mwenyezi Mungu alisema, Mwanadamu ni kiumbe asiyejifahamu. Hata ingawa hawezi kujijua mwenyewe, yeye hata hivyo anajua kila mwanadamu mwingine kama kiganja cha mkono wake, kana kwamba watu wengine wote wamepitia ukaguzi wake na kupokea kibali chake kabla waseme au kufanya chochote, na hivyo ionekane kama yeye amewapima kikamilifu wengine wote mpaka katika hali yao ya kisaikolojia. Binadamu wote wako namna hii. Mwanadamu ameingia katika Enzi ya Ufalme leo hii, lakini asili yake bado haijabadilika.

Jumanne, 9 Januari 2018

Tamko la Kumi na Nne | Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Tamko la Kumi na Nne | Umeme wa Mashariki

Tamko la Kumi na Nne|Umeme wa Mashariki


Mwenyezi Mungu alisema, Katika enzi zote, hakuna mwanadamu ameingia katika ufalme na hivyo hakuna aliyefurahia neema ya Enzi ya Ufalme, hakuna aliyeona Mfalme wa ufalme. Ingawa chini ya nuru ya Roho Wangu watu wengi wametabiri uzuri wa ufalme, wanajua tu nje ya ufalme, sio umuhimu wa ndani. Leo, ufalme ujapo kuwepo rasmi duniani, binadamu wote bado hujui kinachopaswa kukamilishwa, ulimwengu ambao binadamu hatimaye ataletwa ndani, wakati wa Enzi ya Ufalme.

Jumatatu, 8 Januari 2018

Tamko la Kumi na Tatu | Umeme wa Mashariki

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu
Tamko la Kumi na Tatu | Umeme wa Mashariki

Tamko la Kumi na TatuUmeme wa Mashariki


Mwenyezi Mungu alisema, Zangu kadhaa zimefichwa ndani ya matamshi ya sauti Yangu. Ila mwanadamu hajui na hafahamu chochote kuhusu haya, huku akiendelea kuyapokea na kuyafuata maneno Yangu kutoka nje bila kung’amua roho Yangu na kuelewa mapenzi Yangu kutoka ndani ya maneno Yangu. Ijapokuwa nimeyaweka maneno Yangu wazi, kuna aliyefahamu?