Jumatatu, 1 Januari 2018

Mazungumzo Mafupi Kuhusu “Ufalme wa Milenia Umefika” | Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu

Mazungumzo Mafupi Kuhusu “Ufalme wa Milenia Umefika” | Umeme wa Mashariki


Mwenyezi Mungu alisema, Mnayaonaje maono ya Ufalme wa Milenia? Baadhi ya watu hutafakari sana kuuhusu na kusema kuwa Ufalme wa Milenia utadumu duniani kwa miaka elfu moja, hivyo basi ikiwa waumini wazee katika kanisa hawajaoa, je, wanapaswa kuoa? Familia yangu haina pesa, je napaswa nianze kutafuta pesa? … Ufalme wa Milenia ni nini? Je, mnajua? Watu ni nusu vipofu na wanapitia mateso mengi.

Jumapili, 31 Desemba 2017

Kumpenda Mungu Tu Ndiko Kumwamini Mungu Kweli | Umeme wa Mashariki

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu
Kumpenda Mungu Tu Ndiko Kumwamini Mungu Kweli | Umeme wa Mashariki 

Kumpenda Mungu Tu Ndiko Kumwamini Mungu Kweli|Umeme wa Mashariki


Mwenyezi Mungu alisema, Mnapotaka kumpenda na kumjua Mungu leo, kwa upande mmoja ni lazima mstahimili mateso, usafishaji, na kwa ule upande mwingine, ni lazima mgharamike. Hakuna funzo lililo kubwa kuliko lile la kumpenda Mungu, na inaweza kusemwa kuwa funzo ambalo watu hujifunza katika maisha yao yote ya imani ni jinsi ya kumpenda Mungu. Hii ni kusema, kama unamwamini Mungu ni lazima umpende Mungu.

Jumamosi, 30 Desemba 2017

Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno | Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu
Watiifu wa Kweli Hakika Watakubaliwa na Mungu | Umeme wa Mashariki

Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno|Umeme wa Mashariki

Mwenyezi Mungu alisema, Katika Enzi ya Ufalme, Mungu anatumia neno ili kukaribisha enzi mpya, ili kubadilisha mbinu za kazi Yake, na kuweza kufanya kazi katika enzi nzima. Hii ndiyo kanuni ambayo Mungu hufanyia kazi katika Enzi ya Neno. Alikuwa mwili ili kuweza kuzungumza kutoka mitazamo tofauti, kumwezesha binadamu kumwona Mungu kwa kweli, ambaye ni Neno linaloonekana katika mwili, na hekima Yake na maajabu.

Ijumaa, 29 Desemba 2017

Mungu ni Mungu | "Zingatia Majaliwa ya Binadamu" | Swahili Christian Song

Mungu ni Mungu | "Zingatia Majaliwa ya Binadamu" | Swahili Christian Song


Zingatia Majaliwa ya Binadamu
Mungu awahimiza makabila yote, mataifa na nyanja zote:
Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake;
mzingatie hatima ya wanadamu;
mfanye Mungu Mtakatifu na Mheshimiwa, Mkuu na wa pekee wakuabudiwa,

Alhamisi, 28 Desemba 2017

Watiifu wa Kweli Hakika Watakubaliwa na Mungu | Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mungu
Watiifu wa Kweli Hakika Watakubaliwa na Mungu | Umeme wa Mashariki

Watiifu wa Kweli Hakika Watakubaliwa na Mungu | Umeme wa Mashariki

Mwenyezi Mungu alisema,  Kazi ya Roho Mtakatifu inabadilika kutoka siku hadi siku, ikipanda juu kwa kila hatua; ufunuo wa kesho unakuwa hata juu kuliko wa leo, hatua kwa hatua ukikwea hata juu zaidi. Hii ndiyo kazi anayotumia Mungu kumkamilisha mwanadamu. Iwapo mwanadamu hawezi kwenda sambamba, basi anaweza kuachwa wakati wowote. Kama mwanadamu hana moyo wa kutii, basi hawezi kufuata hadi mwisho.

Jumatano, 27 Desemba 2017

Maoni Wanayopaswa Kushikilia Waumini | Umeme wa Mashariki


Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu
Maoni Wanayopaswa Kushikilia Waumini | Umeme wa Mashariki

Maoni Wanayopaswa Kushikilia Waumini|Umeme wa Mashariki


Mwenyezi Mungu alisema, Ni kitu gani ambacho mwanadamu amepokea tangu alipomwamini Mungu mara ya kwanza? Umejua kitu gani kumhusu Mungu? Umebadilika kiasi gani kwa sababu ya imani yako kwa Mungu? Sasa mnajua nyote ya kwamba imani ya mwanadamu katika Mungu si kwa ajili ya wokovu wa roho na ustawi wa mwili tu, wala si kuimarisha maisha yake kwa njia ya upendo wa Mungu, na kadhalika.

kweli Kuhusu Kazi Katika Enzi ya Ukombozi | Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Yesu
kweli Kuhusu Kazi Katika Enzi ya Ukombozi | Umeme wa Mashariki

Kazi Katika Enzi ya Sheria|Umeme wa Mashariki


Mwenyezi Mungu alisema, Mpango Wangu mzima wa usimamizi, ambao una urefu wa miaka elfu sita, unashirikisha awamu tatu, au enzi tatu: Kwanza, Enzi ya Sheria; pili, Enzi ya Neema (ambayo pia ni enzi ya Ukombozi); na mwisho, Enzi ya Ufalme. Kazi Yangu katika enzi hizi tatu hutofautiana kulingana na asili ya kila enzi, lakini katika kila hatua huambatana na mahitaji ya mwanadamu-au, inatofautiana kulingana na ujanja ambao Shetani anatumia katika vita Vyangu dhidi yake.