Jumanne, 26 Desemba 2017

Mwokozi Amerudi Tayari Juu ya “Wingu Jeupe” | Umeme wa Mashariki

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, ukombozi
Mwokozi Amerudi Tayari Juu ya “Wingu Jeupe” | Umeme wa Mashariki

Mwokozi Amerudi Tayari Juu ya “Wingu Jeupe”|Umeme wa Mashariki

Mwenyezi Mungu alisema, Kwa maelfu kadhaa ya miaka, mwanadamu ametamani kuweza kushuhudia kufika kwa Mwokozi. Mwanadamu ametamani kumtazama Yesu Mwokozi katika wingu jeupe Anaposhuka, yeye binafsi, kati ya wale ambao wamengoja na kumtamani kwa maelfu ya miaka. Mwanadamu ametamani Mwokozi arejee na kuungana na watu, yaani, ili Yesu Mwokozi Arudi kwa watu ambao wamekuwa mbali Naye kwa maelfu ya miaka.

Jumatatu, 25 Desemba 2017

Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu


Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu
Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu | Umeme wa Mashariki

Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu


Mwenyezi Mungu alisema, Mungu huzungumza maneno Yake na kufanya kazi Yake kulingana na enzi tofauti, na katika enzi tofauti, Anazungumza maneno tofauti. Mungu hafuati sheria, ama kurudia kazi ya awali, ama kuhisi hali ya kumbukumbu kwa vitu vilivyopita; ni Mungu ambaye ni mpya kila wakati na hazeeki, na kila siku anazungumza maneno mapya. Lazima uyafuate yale ambayo lazima yafuatwe leo; haya ni majukumu na kazi ya mwanadamu.

Jumapili, 24 Desemba 2017

Kazi Katika Enzi ya Sheria | Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Kazi Katika Enzi ya Sheria | Umeme wa Mashariki

Kazi Katika Enzi ya Sheria|Umeme wa Mashariki


Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ambayo Yehova alifanya kwa Waisraeli ilianzisha mahali pa Mungu pa asili miongoni mwa binadamu, ambapo pia palikuwa pahali patakatifu ambapo Alikuwapo. Aliwekea kazi Yake mipaka kwa watu wa Israeli. Mwanzoni, Hakufanya kazi nje ya Israeli; badala yake, Aliwachagua watu Aliowaona kuwa wa kufaa ili kuzuia eneo la kazi Yake. Israeli ni mahali ambapo Mungu aliwaumba Adamu na Hawa, na kutoka katika mavumbi ya mahali hapo Yehova alimuumba mwanadamu;

Jumamosi, 23 Desemba 2017

Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu | Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,  Yesu
Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu | Umeme wa Mashariki

Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu|Umeme wa Mashariki

Mwenyezi Mungu alisema, Katika kipindi kile ambacho Petro alikuwa na Yesu, aliona sifa nyingi za kupendeza ndani ya Yesu, hali nyingi zenye za kustahili kuigwa, na nyingi ambazo zilimkimu. Ingawa Petro aliona nafsi ya Mungu ndani ya Yesu katika njia nyingi, na kuona sifa nyingi za kupendeza, mara ya kwanza hakumjua Yesu. Petro alianza kumfuata Yesu alipokuwa na umri wa miaka 20, na akaendelea kufanya hivyo kwa miaka sita. Katika kipindi hiki cha muda, hakuwahi kupata kumjua Yesu, lakini alikuwa radhi kumfuata kutokana na kuvutiwa na Yeye tu.

Ijumaa, 22 Desemba 2017

Mungu ni upendo | "Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu" | Best Swahili Gospel Worship Song

Mungu ni upendo | "Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu" | Best Swahili Gospel Worship Song


Sasa kwa kushangilia sana, utakatifu wa Mungu na haki

vinakua ulimwenguni kote,
ikitukuka sana kati ya wanadamu wote.
Miji ya mbinguni inacheka, falme za dunia zinacheza.
Ni nani asiyesherehekea? Ni nani asiyetoa machozi?

Alhamisi, 21 Desemba 2017

Je, Utatu Mtakatifu Upo?|Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,Yesu
Je, Utatu Mtakatifu Upo?|Umeme wa Mashariki

Je, Utatu Mtakatifu Upo?|Umeme wa Mashariki


Mwenyezi Mungu alisema, Baada ya ukweli wa Yesu aliyepata mwili kutokea, mwanadamu aliamini hili: Si Baba pekee aliye mbinguni, bali pia Mwana, na hata Roho Mtakatifu. Hii ndiyo dhana ya kawaida aliyonayo mwanadamu, kwamba kuna Mungu wa aina hii mbinguni: Utatu ambao ni Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu, wote katika nafsi moja.

Jumatatu, 18 Desemba 2017

Mungu ni Mkuu | “Upendo wa Kweli wa Mungu” Swahili Gospel Songs | Asante Mungu | Haleluya

Mungu ni Mkuu | “Upendo wa Kweli wa Mungu” Swahili Gospel Songs | Asante Mungu | Haleluya


Nasimama mbele ya Mungu wangu tena leo.
Moyo wangu una mengi ya kusema
ninapoona uso Wake wa kupendeza.
Nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu.