Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo baraka. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo baraka. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 18 Juni 2018

Umeme wa Mashariki | Sura ya 7

Kanisa la Mwenyezi Mungu, hukumu, Umeme wa Mashariki
Umeme wa Mashariki | Sura ya 7

Umeme wa Mashariki | Sura ya 7

Matawi yote ya magharibi yanapaswa kuisikiliza sauti Yangu:
Mwenyezi Mungu alisema, Je, mmekuwa waaminifu Kwangu hapo awali? Je, mmekuwa mkiyasikia maneno Yangu mazuri ya ushauri? Je, mnayo matumaini ambayo ni halisi na yasiyo na mashaka? Utiifu wa mwanadamu, mapenzi yake, imani yake—hamna kipatikanacho ila kutoka Kwangu, hamna hata kimoja ila kilichotawazawa na Mimi. Nyie watu Wangu, myasikiapo maneno Yangu, je mnaielewa nia Yangu? Mnaiona roho Yangu?

Jumatano, 4 Oktoba 2017

Je, Kazi ya Mungu ni Rahisi Jinsi Mwanadamu Anavyodhania?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki 

Je, Kazi ya Mungu ni Rahisi Jinsi Mwanadamu Anavyodhania?

Mwenyezi Mungu alisem: Kama mtu anayemwamini Mungu, inakupasa kuelewa kuwa, leo, katika kupokea kazi ya Mungu nyakati za mwisho na kazi yote ya mpango wa Mungu ndani yako, umepokea utukufu mkuu na wokovu wa Mungu kabisa. Kazi yote ya Mungu ulimwengu mzima imelenga watu wa kikundi hiki. Amejitolea kwa nguvu Zake zote na kutoa vyote kwa ajili yako; Amekurejesha na kukupa kazi yote ya Roho ulimwenguni kote. Ndiyo sababu Nasema kuwa wewe una bahati.

Jumatatu, 2 Oktoba 2017

Mwenyezi Mungu | Kuijua Kazi ya Mungu Leo

Mwenyezi Mungu | Kuijua Kazi ya Mungu Leo


Kuijua kazi ya Mungu katika nyakati hizi, kwa sehemu kubwa, ni kumjua Mungu katika mwili wa siku za mwisho, kile ambacho ni huduma Yake kuu, na kile ambacho Amekuja kufanya duniani. Hapo mwanzoni Nimesema katika maneno Yangu kwamba Mungu Amekuja duniani (katika siku za mwisho) ili kuweka mfano kabla Hajaondoka. Ni kwa jinsi gani Mungu Ameuweka mfano huu? Kwa kuzungumza maneno, kwa kufanya kazi na kuzungumza katika nchi nzima. Hii ni kazi ya Mungu wakati wa siku za mwisho;