Jumatano, 13 Machi 2019

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V Utakatifu wa Mungu (II)” Sehemu ya Kwanza

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V Utakatifu wa Mungu (II)” Sehemu ya Kwanza

Mwenyezi Mungu anasema, “Ni kwa sababu watu wanaishi miongoni mwa tabia potovu na wanaishi katika dunia ya uovu na uchafu. Kila kitu wanachoona, kila kitu wanachogusa, kila kitu wanachopitia ni uovu wa Shetani na upotovu wa Shetani na pia kufanya mipango, kupigana wenyewe kwa wenyewe, na vita vinavyotokea miongoni mwa watu walio chini ya ushawishi wa Shetani. Kwa hivyo, hata wakati Mungu anafanya kazi Yake kwa watu, na hata wakati Anazungumza nao na kufichua tabia na kiini Chake hawawezi kuona ama kujua utakatifu na kiini cha Mungu ni nini.  Watu mara nyingi husema kwamba Mungu ni mtakatifu, lakini hawana uelewa wowote wa kweli; wao husema tu maneno matupu. Kwa sababu watu wanaishi miongoni mwa uchafu na upotovu na wanamilikiwa na Shetani, hawaoni mwangaza, hawajui chochote kuhusu masuala mema na zaidi, hawajui ukweli. Kwa hivyo, hakuna anayejua maana ya takatifu.”

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni