Jumatatu, 4 Februari 2019

Wimbo wa Kuabudu | "Umuhumi wa Maombi" | How to Gain the Praise of God

Maombi ni njia moja ya mwanadamu kushirikiana na Mungu,
kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu.
Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi, kuangaziwa na kuwa mwenye nguvu-nia.
Watu kama hao wanaweza kufanywa kamili hivi karibuni.

Hivyo wale wasioomba ni waliokufa bila roho.
Hawawezi kuguswa na Mungu, hawawezi kufuata kazi ya Mungu.
Watu wasioomba wanapoteza maisha ya kawaida ya kiroho,
wamevunja uhusiano na Mungu; Hatawakubali.
Watu wasioomba wanapoteza maisha ya kawaida ya kiroho,
wamevunja uhusiano na Mungu; Hatawakubali.

Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi, kuangaziwa na kuwa mwenye nguvu-nia.
Watu kama hao wanaweza kufanywa kamili hivi karibuni.
Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi, kuangaziwa na kuwa mwenye nguvu-nia.
Watu kama hao wanaweza kufanywa kamili hivi karibuni.
Watu kama hao wanaweza kufanywa kamili hivi karibuni.
Watu kama hao wanaweza kufanywa kamili hivi karibuni.

kutoka katika Neno Laonekana katika Mwili

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni