Ijumaa, 9 Novemba 2018

5. Ni zipi tofauti muhimu kati ya Mungu mwenye mwili na hao watu ambao hutumiwa na Mungu?

I. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Kupata Mwili kwa Mungu

5. Ni zipi tofauti muhimu kati ya Mungu mwenye mwili na hao watu ambao hutumiwa na Mungu?

Aya za Biblia za Kurejelea:
"Mimi nawabatiza na maji ili mtubu. Lakini yule ajaye baada ya mimi ni mwenye nguvu zaidi kuliko mimi, ambaye sistahili kuvichukua viatu vyake. Atawabatiza na Roho Mtakatifu, na moto" (MT 3:11).

Alhamisi, 8 Novemba 2018

Gospel Video Clip "Wayahudi Wakienda Uhamishoni Ughaibuni na Injili ya Ufalme wa Mbinguni Ikienezwa"

Gospel Video Clip "Wayahudi Wakienda Uhamishoni Ughaibuni na Injili ya Ufalme wa Mbinguni Ikienezwa"

Baada ya kufufuka kwa Bwana Yesu, Wayahudi walitupwa uhamishoni duniani kote, na kusababisha injili ya ufalme wa mbinguni kuenea kwa kila kona ya dunia. Hivyo tunaona kwamba hekima ya Mungu ni ya juu zaidi kuliko mbinguni, na kwamba matendo Yake hayaeleweki na ni ya kimiujiza.

Sikiliza zaidi: Neno la Mwenyezi munguKujua Kanisa la Mwenyezi Mungu

Jumatano, 7 Novemba 2018

4. Kwa nini Mungu hamtumii mwanadamu kufanya kazi Yake ya hukumu katika siku za mwisho lakini badala yake Yeye ni lazima apate mwili na kuifanya Mwenyewe?

I. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Kupata Mwili kwa Mungu

4. Kwa nini Mungu hamtumii mwanadamu kufanya kazi Yake ya hukumu katika siku za mwisho lakini badala yake Yeye ni lazima apate mwili na kuifanya Mwenyewe?

Aya za Biblia za Kurejelea:
"Kwa kuwa Baba hamhukumu mwanadamu yeyote, ila amekabidhi hukumu yote kwa Mwana" (YN. 5:22).
"Na yeye amempa mamlaka ya kuhukumu pia, kwa kuwa yeye ni Mwana wa Adamu" (YN. 5:27).

Swahili Gospel Video Clip "Mungu Kuja Duniani na Kuwa Sadaka ya Dhambi"

Swahili Gospel Video Clip "Mungu Kuja Duniani na Kuwa Sadaka ya Dhambi"

Wakati wa Enzi ya Neema, Bwana Yesu alikuja miongoni mwa mwanadamu na kusulubiwa kwa ajili yake. Alimkomboa mwanadamu kutoka kwa utumwa wa sheria, na kwa sababu ya sadaka ya dhambi, wanadamu walifurahia upendo wa Bwana na huruma…. Kuja kwa Bwana Yesu kumleta mwanadamu kwa enzi mpya. Wakati huo huo, kuliimarisha uhusiano kati ya Mungu na mwanadamu, na kufungua asili mpya, mwanzo mpya kwa kazi ya Mungu ya usimamizi miongoni mwa binadamu.

Jumanne, 6 Novemba 2018

Tamko la Themanini na Mbili

Wote wanaogopa wanaposikia neno Langu. Wote wamejawa na hofu. Mnaogopa nini? Sitawaua! Ni kwa sababu mnahisi hatia na mnaogopa kugunduliwa. Yale unayoyafanya nyuma Yangu ni ya upuuzi na yasiyo na maana kabisa. Hili limenifanya Nikuchukie sana hivi kwamba Ninatamani sana Ningekuwa nimewatupa wale ambao Sikuwa nimewajaalia wala kuwachagua katika shimo lisilokuwa na mwisho wavunjwe vipande vipande. Hata hivyo, Nina mpango Wangu, Nina malengo Yangu.

Swahili Gospel Video Clip "Ahadi ya Mungu kwa Waisraeli"

Swahili Gospel Video Clip "Ahadi ya Mungu kwa Waisraeli"

Baada ya mamia ya miaka ya kuwekwa chini ya sheria, Waisraeli hatimaye walikabiliwa na hatari ya kuhukumiwa na kuuawa na sheria kwa sababu ya dhambi zao. Walimwita Mungu kwa haraka, ambaye aliwapa ahadi—ahadi ambayo ingezibadilisha kudura zao na kuweko. Hivyo ahadi hii ilikuwa nini hasa? Jibu limefichuliwa katika dondo hii ya filamu ya kustaajabisha ya Kikristo, Ahadi ya Mungu kwa Waisraeli.

Chanzo: Kanisa la Mwenyezi Mungu, Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki

Jumatatu, 5 Novemba 2018

2. Kupata Mwili Ni Nini? Ni Nini Kiini cha Kupata Mwili? Aya za Biblia za Kurejelea:

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kristo, Umeme wa Mashariki

I. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Kupata Mwili kwa Mungu

2. Kupata Mwili Ni Nini? Ni Nini Kiini cha Kupata Mwili?

Aya za Biblia za Kurejelea:
"Na Neno alifanywa kuwa mwili, na akakaa kati yetu, (nasi tukautazama utukufu wake, utukufu kama ule wa Mwana wa pekee aliyezaliwa na Baba,) aliyejawa neema na ukweli" (YN. 1:14).