Jumapili, 7 Oktoba 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu "Upendo Safi Bila Dosari" | What Is It to Truly Love God?

Wimbo wa Maneno ya Mungu "Upendo Safi Bila Dosari" | What Is It to Truly Love God?

I
Upendo ni hisia safi, safi bila dosari.
Tumia moyo, tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.
Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga.
Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.
Ukipenda hudanganyi, hulalamiki, hugeuki,
hutazamii kupata kitu, cha malipo.
Ukipenda utajitolea, ukubali taabu, kuwa kimoja, Mungu katika mapatano.

Nyendo za Mateso ya Kidini "Kuficha Uhalifu" (Christian Videos) swahili

Nyendo za Mateso ya Kidini "Kuficha Uhalifu" (Christian Videos) swahili

Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani. Filamu hii ya hali halisi inayoonyesha kifo cha ghafla na kisichotarajiwa cha Mkristo Mchina aliyeitwa Song Xiaolan–kifo ambacho kwacho polisi wa CCP walitoa maelezo yasiyopatana na yaliyogongana. Baada ya kuchunguza, familia ya Song iligundua kwamba polisi walikuwa wakidanganya wakati wote huo.

Jumamosi, 6 Oktoba 2018

Sura ya 114

Sura ya 114

Niliumba ulimwengu dunia; Nilitengeneza milima, mito, na vitu vyote; Niliunda miisho ya mifumo ya sayari; Niliwaongoza wana Wangu na watu Wangu; Niliamuru vitu na mambo yote. Sasa, Nitawaongoza wazaliwa Wangu wa kwanza warudi kwenye Mlima Wangu Sayuni, kurudi mahali ambapo Naishi, ambayo itakuwa hatua ya mwisho katika kazi Yangu. Yote ambayo Nimeyatenda (kila kitu kilichofanyika kutoka uumbaji mpaka sasa) yalikuwa kwa sababu ya hatua ya leo ya kazi Yangu, na zaidi ni kwa sababu ya utawala wa kesho, ufalme wa kesho,

Worship and Praise Dance | "Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu" | The Kingdom of Christ Is Paradise for the Honest (Swahili Subtitles)

Worship and Praise Dance | "Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu" | The Kingdom of Christ Is Paradise for the Honest (Swahili Subtitles)

Safi na mwaminifu kama mtoto, asiye na hatia na mchangamfu, aliyejawa na nguvu za ujana,
wao ni kama malaika wanaokuja ulimwenguni.
Hakuna uongo, udanganyifu au hadaa, na moyo ulio wazi na mwaminifu, wanaishi na heshima.
Wanaitoa mioyo yao kwa Mungu, Mungu anawaamini, na wao ni watu waaminifu ambao Mungu anapenda.
Wale wanaopenda ukweli wote wana mioyo ya uaminifu.
Watu waaminifu hufurahia kutenda ukweli, na kwa kumtii Mungu mioyo yao ina amani.
Wanamcha Mungu, wanaepuka maovu na wanaishi kulingana na maneno ya Mungu.
Wanaishi katika maneno ya Mungu na wamewekwa huru na kuachiliwa.
Wanakubali uchunguzi wa Mungu na kuishi mbele Yake. Kumpenda Mungu ni kuwa na furaha na mwenye shangwe.

Ijumaa, 5 Oktoba 2018

Mchezo Mfupi wa Kuchekesha "Kukusanyika katika Zizi la Ng'ombe" | A Horrible Experience in a Meeting

Mchezo Mfupi wa Kuchekesha "Kukusanyika katika Zizi la Ng'ombe" | A Horrible Experience in a Meeting

Kwa sasa, mateso ya Wakristo ya serikali inayomkana Mungu ya CCP yanaongezeka kila siku. Waumini wanakabiliwa na kizuizi kwa kutenda imani yao mara kwa mara; hata hawawezi kupata pahali pa kukutana kwa amani. Bila chaguo jingine, Liu Xiumin anaweza tu kutayarisha mkutano na ndugu katika zizi lake la ng'ombe. Lakini wakati wanapokutana, makada wa kijiji wanakuja mmoja baada ya mwingine kuangalia kila pahali, wakitoa visingizio mbalimbali, na kisha hata kuwaleta polisi wa CCP ndani.... Je, Liu Xiumin na ndugu zake wataweza kufanikiwa kufanya mkutano wao? Je, watagunduliwa? Je, watakamatwa? Mchezo huu mfupi wa kuchekesha Kukusanyika katika Zizi la Ng'ombe unakufichulia jinsi Wakristo katika China wanaweza kushikilia katika imani yao chini ya mateso ya serikali ya CCP.

Sikiliza zaidi: Kanisa la Mwenyezi Mungu video

"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (1) - Tushughulikie Vipi Umeme wa Mashariki kwa Njia Inayolingana na Mapenzi ya Bwana?

"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (1) - Tushughulikie Vipi Umeme wa Mashariki kwa Njia Inayolingana na Mapenzi ya Bwana?

Wakati watu wanaposhuhudia kwamba Umeme wa Mashariki ndiko kurudi kwa Bwana Yesu, waumini wengi wanahisi kwamba Umeme wa Mashariki ndiyo njia ya kweli, na wanafaa kulitafuta na kulichunguza kwa bidii ili kuisikia sauti ya Bwana. Wachungaji na wazee wa kanisa wa dini, hata hivyo, wanaifasiri vibaya Biblia ili kulipinga na kulishutumu Umeme wa Mashariki. Kupitia kwa muungano wa "kuilinda njia ya Bwana, kuwaweka kondoo salama, na kuwajibikia maisha ya waumini," wanawazuia waumini kwa kila mbinu dhidi ya kuichunguza njia ya kweli. Je, Umeme wa Mashariki kwa kweli ndiko kurudi kwa Bwana, kujionyesha na kuifanya kazi? Tunafaa kuishughulikia vipi Umeme wa Mashariki, ili tulingane na mapenzi ya Bwana?


Alhamisi, 4 Oktoba 2018

"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (2) - Je, Kuikubali Injili ya Kurudi kwa Pili kwa Yesu Kristo ni Uasi wa Dini?

"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (2) - Je, Kuikubali Injili ya Kurudi kwa Pili kwa Yesu Kristo ni Uasi wa Dini?

Kwenye Biblia, Paulo alisema, "Nashangaa kwamba mmejiondoa upesi hivi kwake yeye aliyewaita katika neema ya Kristo, na kuelekea injili nyingine" (Wagalatia 1:6). Wachungaji na wazee wa kanisa huyafasiri vibaya maneno haya ya Paulo na kuwashutumu watu wote wanaoikubali injili ya kurudi kwa pili kwa Bwana Yesu, wakisema kwamba huu ungekuwa uasi wa dini na kwamba ungekuwa kumsaliti Bwana. Baadhi ya waumini hivyo basi huikosa fursa ya kumkaribisha Bwana, kwa sababu wamedanganywa. Ni dhahiri kwamba kuupata ufahamu wazi wa maana ya kweli ya maandiko haya ni muhimu sana kwa sisi kukaribisha kurudi kwa Bwana. Hivyo, ni nini maana ya kweli ya fungu hili la Maandiko? Je, kuikubali injili ya kurudi kwa pili kwa Yesu Kristo ni uasi wa dini?

Sikiliza zaidi: Msifuni Mwenyezi Mungu (MV), Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?