Jumanne, 2 Oktoba 2018

Swahili Christian Song "Matendo ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu" | Praise the Great Power of God

Swahili Christian Song "Matendo ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu" | Praise the Great Power of God

Mungu anatazama chini juu ya vitu vyote kutoka juu, na Anatawala vitu vyote kutoka juu.
Wakati huo huo, Mungu ametuma wokovu Wake juu ya dunia.
Mungu anaangalia kutoka mahali Pake pa siri kila wakati,
kila hatua ya mwanadamu, kila kitu anachosema na kufanya.

Mungu anamjua mwanadamu kama kiganja cha mkono Wake.
Mahali pa siri ni makao ya Mungu, anga ndicho kitanda Mungu akilaliacho.
Nguvu ya Shetani haiwezi kumfikia Mungu, kwani Yeye amejawa na utukufu, haki, na hukumu.

Jumatatu, 1 Oktoba 2018

Tamko la Sitini na Mbili

Tamko la Sitini na Mbili

Kuyaelewa mapenzi Yangu hakufanywi ili tu kwamba uweze kujua, ila pia kwamba uweze kutenda kulingana na nia Yangu. Watu hawauelewi moyo Wangu. Ninaposema huku ni mashariki, wanalazimika kuenda na kutafakari, wakijiuliza, “Kweli ni mashariki? Pengine sio. Siwezi kuamini kwa urahisi hivyo. Nahitaji kujionea mwenyewe.” Ninyi watu ni wagumu sana kushughulikia, na hamjui utii wa kweli ni nini. Mnapoijua nia Yangu kisha mwende kuitenda kwa kusita—hakuna haja ya kuifikiria!

Trela ya Filamu ya Kikristo "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kutoa Sheria

Trela ya Filamu ya Kikristo "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kutoa Sheria

Amri na sheria ambazo Yehova Mungu aliwapa Waisraeli hazijakuwa na athari kubwa sana kwa sheria ya binadamu tu, lakini pia zimetekeleza jukumu muhimu katika kuanzishwa na utengenezwaji wa ustaarabu wa kimaadili na taasisi za kidemokrasia katika jamii za binadamu. Filamu ya Kikristo ya muziki—Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu—hivi karibuni itaonyesha ukweli wa kihistoria!

Sikiliza zaidi: Kanisa la Mwenyezi Mungu Video, Msifuni Mwenyezi Mungu (MV)

Jumapili, 30 Septemba 2018

Tamko la Sitini

Tamko la Sitini

Si jambo rahisi kwa maisha kukua; yanahitaji mchakato, na aidha, kwamba muweze kulipa gharama na kwamba mshirikiane na Mimi kwa uwiano, na hivyo mtapata sifa Yangu. Mbingu na dunia na vitu vyote vinaanzishwa na kufanywa kamili kupitia maneno ya kinywa Changu na chochote kinaweza kutimizwa nami. Matakwa Yangu ya pekee ni kwamba mkue haraka, mchukue mzigo kutoka kwa mabega Yangu na kuuweka kama wenu, mfanye kazi Zangu kwa niaba Yangu, na hilo litauridhisha moyo Wangu.

Mchezo Mfupi wa Kuchekesha | "Njama za Polisi" (Swahili Subtitles)

Mchezo Mfupi wa Kuchekesha | "Njama za Polisi" (Swahili Subtitles)

Ili kuondoa imani za dini, serikali ya CCP ambayo inakana Mungu mara kwa mara inatumia mikakati ya kuchunguza Wakristo kama vile kuendesha uchunguzi wa siri na kufuatilia ili kuwafutilia mbali wote. Kichekesho cha Njama za Polisi kinahusu ushirikiano wa maafisa waovu wa CCP katika sura fiche na ofisa msaidizi, punda anayevaa ngozi ya simba, anayeendesha ufuatiliaji wa siri wa kuwatia mbaroni Wakristo wanaokusanyika kwenye nyumba ya Zhao Yuzhi. Je, Zhao Yuzhi na familia yake watashughulikiaje njama ovu za polisi wa Kichina? Je, ni shida gani zitakazowakumba wao?


Tufuate : Kanisa la Mwenyezi Mungu, Neno la Mwenyezi mungu

Jumamosi, 29 Septemba 2018

Tamko la Hamsini na Nane

Tamko la Hamsini na Nane

Ukiielewa nia Yangu, utaweza kuufikiria mzigo Wangu na unaweza kupata mwanga na ufunuo, na kupata ufunguliwaji na uhuru, kuuridhisha moyo Wangu, kuyaruhusu mapenzi Yangu kwa ajili yako kutekelezwa, kuwaletea watakatifu wote ujenzi wa maadili, na kuufanya ufalme Wangu duniani kuwa imara na thabiti. Jambo la muhimu sasa ni kuelewa nia Yangu, hii ni njia mnayopaswa kuingia katika na hata zaidi ni wajibu wa kutimizwa na kila mtu.

Neno la Mungu | "Kazi katika Enzi ya Sheria" | How Did God Guide the Original Mankind?

Neno la Mungu | "Kazi katika Enzi ya Sheria" | How Did God Guide the Original Mankind?


Mwenyezi Mungu alivyosema, "Kwenye Enzi ya Sheria, Yehova Aliweza kuweka wazi sheria nyingi kwa Musa kupitisha kwa wana wa Israeli waliomfuata kutoka Misri. … Yehova Alianzisha sheria Zake na taratibu ili huku Akiyaongoza maisha yao, watu wangeweza kumsikiliza na kuheshimu neno Lake na wala si kuasi neno Lake. Alitumia sheria hizi kuweza kudhibiti kizazi kipya cha binadamu kilichozaliwa, kuweka msingi wa kazi Yake ambayo ingefuata. Na kwa hivyo, sababu ya kazi ambayo Yehova Alifanya, enzi ya kwanza iliitwa Enzi ya Sheria."


Yaliyopendekezwa: Ujio wa pili wa YesuUmeme wa Mashariki Hutoka wapi?