Jumapili, 23 Septemba 2018

Tamko la Kumi na Mbili

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Umeme wa Mashariki

Tamko la Kumi na Mbili

Ikiwa una tabia ambayo si thabiti, nyepesi kuhamaki kama upepo au mvua, kama huwezi kuendelea kusonga mbele, basi fimbo Yangu haitakuwa mbali na wewe. Unaposhughulikiwa, kadiri hali ilivyo mbaya zaidi, na kadiri unavyoteswa zaidi, ndivyo upendo wako kwa Mungu unavyoongezeka, na unaacha kushikilia dunia. Bila njia nyingine, unakuja Kwangu, na unapata tena nguvu na imani yako. Ilhali, katika hali rahisi, ungeboronga. Ni lazima uingie ndani kwa mtazamo chanya, uwe mwenye vitendo na si baridi.

Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (4) - Je, Ufalme wa Mbinguni uko Mbinguni au Ulimwenguni?

Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (4) - Je, Ufalme wa Mbinguni uko Mbinguni au Ulimwenguni?

Watu wengi walio na imani kwa Bwana wanasadiki kwamba ufalme wa mbinguni uko mbinguni. Je, hivyo ndivyo ilivyo kwa kweli? Sala ya Bwana inasema: "Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe. Ufalme wako uje, Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni" (Mathayo 6:9-10). Kitabu cha Ufunuo kinasema, "Falme za dunia zimekuwa falme za Bwana wetu, na za Kristo wake" (Ufunuo 11:15). "Mji mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukishuka kutoka kwa Mungu mbinguni, … maskani ya Mungu yako pamoja na wanadamu" (Ufunuo 21:2-3). Hivyo, ufalme wa mbinguni uko mbinguni au ulimwenguni?

Yaliyopendekezwa: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi MunguFilamu za Injili

Jumamosi, 22 Septemba 2018

Kuuonja Upendo wa Mungu Katikati ya Dhiki



Kanisa la Mwenyezi Mungu, kanisa, Umeme wa Mashariki

93. Kuuonja Upendo wa Mungu Katikati ya Dhiki

Chen Lu Wilaya ya Tonglu, Mkoa wa Zhejiang
Nilizaliwa miaka ya 1980 katika kijiji—tulikuwa tumekuwa familia ya wakulima kwa vizazi vingi. Nilijiingiza katika masomo yangu ili niweze kuhitimu kuingia katika chuo na kuepuka maisha ya kijijini ya umasikini na hali ya kuwa nyuma. Nilipoanza shule ya upili, nilikutana na Historia ya Sanaa ya Magharibi, na wakati nilipoona picha nyingi za kupendeza kama vile "Mwanzo," "Bustani ya Edeni," na "Mlo wa Mwisho," ni hapo tu nilipojua kwamba kulikuwa na Mungu katika ulimwengu aliyeumba vitu vyote. Sikuweza kujizuia kuwa na moyo uliojaa hamu ya Mungu. Baada ya kuhitimu kutoka chuo, nilipata kazi nzuri kwa urahisi sana, na kisha nikampata patna mzuri. Hatimaye nilikuwa nimefanikisha matarajio yangu mwenyewe na yale ya mababu zangu. Nilikuwa nimeepuka nasaba ya mababu zangu ya kuuweka uso wao chini na mgongo kuangalia mbinguni, na mwaka wa 2008, kuzaliwa kwa mtoto kuliongeza furaha zaidi kwa maisha yangu. Nikiangalia kila kitu nilichokuwa nacho katika maisha yangu, niliamini kuwa nilistahili niwe na maisha ya furaha, ya kustarehesha.

Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (3) - Nani Atanyakuliwa Kwanza Wakati Bwana Atakaporudi?

Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (3) - Nani Atanyakuliwa Kwanza Wakati Bwana Atakaporudi?

Wengi wa wale wanaomsadiki Bwana wanasadiki kwamba mradi tu wajitolee, wajitumie, na kutia bidii, bila shaka watakuwa miongoni mwa wale wa kwanza kunyakuliwa. Lakini je, kuna msingi wowote wa haya katika maneno ya Bwana? Bwana Yesu alisema, "But many that are first shall be last; and the last shall be first" (Mathayo 19:30). "Kondoo wangu huisikia sauti yangu" (Yohana 10:27). Ni wazi kwamba kama mtu anaweza kunyakuliwa au la kunaamuliwa na kama ataisikia sauti ya Bwana. Wale wanaoisikia kwanza sauti Yake na kukubali kuonekana Kwake na kazi ni wanawali wenye hekima, na watakuwa wa kwanza kunyakuliwa.

Kujua zaidi: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi MunguUmeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Ijumaa, 21 Septemba 2018

Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (2) - Je, Unafahamu Fumbo la Kuonekana kwa Mungu?

Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (2) - Je, Unafahamu Fumbo la Kuonekana kwa Mungu?

Waumini wengi ndani ya Bwana wanasadiki kwamba Bwana atarudi kwa utukufu, akishuka juu ya wingu na kuonekana kwa watu wote, hivyo siku zote wanayaangalia mawingu kwenye mbingu, wakisubiria Bwana kushuka akiwa juu ya wingu, na kunyakuliwa hadi kwenye mbingu na kukutana na Yeye. Je, dhana hii inaenda sambamba na ukweli? Mtu anafaa kufahamu vipi kuonekana kwa Mungu na kazi? Kuonekana kwa Mungu kunayo mafumbo ya aina gani?


Sikiliza zaidi: Msifuni Mwenyezi Mungu (MV)

Utajiri wa Maisha

Kanisa la Mwenyezi Mungu, ushuhuda, Umeme wa Mashariki

90. Utajiri wa Maisha

Wang Jun Mkoa wa Shandong
Kwa miaka mingi tangu kukubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho, mke wangu na mimi tumepitia hili pamoja chini ya ukandamizaji wa joka kubwa jekundu. Katika wakati huu, ingawa nimekuwa na udhaifu, maumivu, na machozi, nahisi kwamba nimenufaika pakubwa kutoka kwa uzoefu wa ukandamizaji huu. Uzoefu huu mchungu haujanifanya tu kuona kwa dhahiri asili mbovu ya kupinga maendeleo, na sura mbaya ya joka kubwa jekundu, lakini pia nimetambua asili yangu mwenyewe ya upotovu.

Alhamisi, 20 Septemba 2018

Mapambano ya Kufa na Kupona

Kanisa la Mwenyezi Mungu, ukweli, Umeme wa Mashariki

Mapambano ya Kufa na Kupona

Chang Moyang Mjini Zhengzhou, Mkoani Henan
"Unapoutelekeza mwili, bila shaka kutakuwa na mapambano ndani. Shetani anataka ufuate dhana za mwili, kulinda maslahi ya mwili. Hata hivyo, neno la Mungu bado linakupa nuru na kukuangaza ndani, linakupa msukumo kwa ndani na kufanya kazi kutoka ndani. Katika hatua hii, ni juu yako kama unamfuata Mungu, au Shetani. Kila wakati ambapo ukweli unatendwa na kila wakati ambapo watu wanapofanya mazoezi ya kumpenda Mungu, kuna pambano kubwa. Unapotenda ukweli, ndani kabisa kuna pambano la kufa na kupona. Ushindi utaamuliwa tu baada ya mapigano makali. Ni machozi mangapi ya huzuni yamemwagwa(“Kila Unapoutelekeza Mwili Kuna Pambano la Kufa na Kupona” katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya).