Alhamisi, 13 Septemba 2018

est Christian Music "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" (Swahili Musical Documentary) | Power of God

Best Christian Music "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" (Swahili Musical Documentary) | Power of God

    Throughout the vast universe, all celestial bodies move precisely within their own orbits. Under the heavens, mountains, rivers, and lakes all have their boundaries, and all creatures live and reproduce throughout the four seasons in accordance with the laws of life…. This is all so exquisitely designed—is there a Mighty One ruling and arranging all this?

Jumatano, 12 Septemba 2018

Latest Swahili Christian Video "Kufungulia Moyo Minyororo" | Are We Really in Control of Our Own Fate?

Latest Swahili Christian Video "Kufungulia Moyo Minyororo" | Are We Really in Control of Our Own Fate?

    Chen Zhi alizaliwa katika familia iliyokuwa masikini. Shuleni, "Maarifa yanaweza kubadilisha majaliwa yako" na "Majaliwa ya mtu yako mikononi mwake" kama alivyofundishwa na shule ikawa wito wake. Aliamini kuwa almuradi angefanya kazi kwa bidii siku zote, angeweza kuwa bora kuliko wenzake, na kujipatia sifa na umaarufu. Baada ya kuhitimu kutoka chuo kikuu, Chen Zhi alipata kazi iliyolipa vizuri sana katika biashara ya nchi za nje. Hata hivyo, hakuridhika na hali aliyokuwa kwa wakati huo hata kidogo.

Jumanne, 11 Septemba 2018

Sinema Fupi ya Injili "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" (2) - Bila Utakatifu Hakuna Mwanadamu Atakayeingia katika Ufalme wa Mbinguni



Sinema Fupi ya Injili "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" (2) - Bila Utakatifu Hakuna Mwanadamu Atakayeingia katika Ufalme wa Mbinguni

    Wakati dhambi zetu sisi wanaomwamini Bwana zinasamehewa, je, tunapokea utakaso? Ikiwa hatutajitahidi kupata utakaso, na kujali tu kutumika kwa ajili ya Bwana na kufanya kazi ya Bwana kwa uaminifu, je, tutanyakuliwa kuingia katika ufalme wa mbinguni? Filamu hii ya Kuamka Kutoka kwa Ndoto, itakupa majibu yote!


    Sikiliza zaidi:Kuhusu Kanisa la Mwenyezi MunguFilamu za Injili

Jumatatu, 10 Septemba 2018

Sinema Fupi ya Injili "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" (4) - Kukubali Kristo wa Siku za Mwisho na Kunyakuliwa Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni

Sinema Fupi ya Injili "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" (4) - Kukubali Kristo wa Siku za Mwisho na Kunyakuliwa Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni

    Tukimwamini Bwana Yesu tu, na kutetea njia ya Bwana Yesu, lakini tukose kukubali kazi ya Mwenyezi Munguya hukumu katika siku za mwisho, tunawezaje kupokea utakaso na kuingia katika ufalme wa mbinguni? Je, unataka kuwa mwanamwali mwerevu ambaye anaweza kufuata nyayo za Mungu ili kupokea baraka katika ufalme wa mbinguni? Tafadhali tazama filamu hii.

Jumapili, 9 Septemba 2018

Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (1) - Jinsi ya Kutafuta Nyayo za Kazi ya Mungu

Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (1) - Jinsi ya Kutafuta Nyayo za Kazi ya Mungu

    Tunapokabiliana na ukiwa wa makanisa na giza iliyo katika roho, tunapaswa kuanza kutafuta nyayo za Bwana vipi? Tangu nyakati za kale njia ya kweli hupatwa mara kwa mara na mateso, na kuonekana na kazi ya Mungu wa kweli siku zote vitakumbana na ukandamizaji wa kikatili zaidi na mateso na upinzani wa hasira na hukumu ya ulimwengu wa kidini na Mungu serikali. Kama inavyosema katika Biblia, "dunia nzima hukaa ndani ya maovu" (1 Yohana 5:19). Hivyo, popote ambapo Mungu wa kweli huonekana kufanya kazi Yake bila shaka patakuwa ambapo sauti zinazomlaani zi kubwa zaidi. Hii ndiyo njia ya kutafuta nyayo za Bwana.


    Yaliyopendekezwa: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Jumamosi, 8 Septemba 2018

Swahili Gospel Movie Clip (3) - Ili Kuchunguza Kurudi kwa Bwana Tunapaswa Kusikiliza Sauti ya Mungu

Swahili Gospel Movie Clip (3) - Ili Kuchunguza Kurudi kwa Bwana Tunapaswa Kusikiliza Sauti ya Mungu

    Kimsingi unabii wote uliotajwa katika Biblia kuhusiana na kurudi kwa Bwana tayari umetokea. Watu wengi wamehisi kwamba Bwana tayari amerudi, hivyo, tunapaswa kuchunguza vipi ili kuhakikisha kuhusu suala la ikiwa Mwenyezi Mungu ni Bwana Yesu aliyerudi au la? Tunapaswa kufanya uamuzi wetu kulingana na unabii wa Biblia au tunapaswa kuchunguza moja kwa moja neno na kazi ya Mwenyezi Mungu? Tunapaswa kuchukua fursa hii adimu sana na kujadiliana kurudi kwa Bwana wetu vipi? Mwenyezi Mungu anasema, "Unachopaswa kufanya ni kukubali, bila haja ya kuthibitisha zaidi kutoka kwa Biblia, kazi yoyote iwapo tu ni ya Roho Mtakatifu, kwani unamwamini Mungu kumfuata Mungu, sio kumchunguza. Hupaswi kutafuta ushahidi zaidi ili Nionyeshe kwamba Mimi ni Mungu wako. Badala yake, unapaswa kupambanua kama Nina faida kwako; hiyo ndiyo muhimu" (Neno Laonekana katika Mwili).


    Kujua zaidi:Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu

Ijumaa, 7 Septemba 2018

Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (5) - Ni Nani Anayempa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele?

Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (5) - Ni Nani Anayempa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele?

    Bwana Yesu alisema, "Lakini yeyote atakayekunywa maji yale nitakayompa hatahisi kiu milele; bali yale maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji yakibubujika katika uzima wa milele" (Yohana 4:14). Bwana Yesu ndiye chanzo cha maji hai ya uzima, Yeye ndiye njia ya uzima wa milele, lakini, kama ilivyoshudiwa na Umeme wa Mashariki, ni Kristo wa siku za mwisho pekee—Mwenyezi Mungu anaweza kuwapa watu njia ya uzima wa milele. Hivyo, Mwenyezi Mungu na Bwana Yesu wanatoka kwa chanzo kimoja? Je, kazi zao zinatekelezwa na Mungu mmoja? Kwa nini ni Kristo wa siku za mwisho pekee anayeweza kutupa njia ya uzima wa milele?