Jumatano, 13 Juni 2018

32. Kila Neno la Mungu ni Maonyesho ya Tabia Yake

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Umeme wa Mashariki

32. Kila Neno la Mungu ni Maonyesho ya Tabia Yake

Hu Ke    Mji wa Dezhou, Mkoa wa Shandong
Wakati wowote nilipoona maneno haya yaliyosemwa na Mungu, nilihisi kuwa na wasiwasi: “Kila sentensi Niliyoizungumza inaendeleza tabia ya Mungu. Mngefanya vizuri zaidi endapo mngetafakari kuhusu maneno Yangu kwa umakini, na kwa kweli mtafaidi pakubwa kutoka katika maneno haya.” Nilihisi kuwa na wasiwasi kwa sababu kuelewa tabia ya Mungu ni muhimu sana yote kwa ufahamu wa mwanadamu wa Mungu na kutafuta kumpenda na kumridhisha Yeye.

Christian Video Swahili "Kuzinduka" | Ni nini Maana ya Uzima?

Christian Video Swahili "Kuzinduka" | Ni nini Maana ya Uzima?


    Jina lake ni Chen Xi, na tangu akiwa mtoto elimu na ushawishi wa wazazi wake na shule yake zilimfanya yeye mara zote kutaka kwa tofauti na wengine na kutafuta kuwa juu ya wengine,kwa hivyo alikuwa na bidii katika masomo yake na kutia juhudi zote. Baada ya kumwamini Mungu Chen Xi alisoma maneno ya Mungu kwa wingi na akaja kuelewa kiasi fulani cha ukweli.

Jumanne, 12 Juni 2018

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuuchunguza Ulimwengu

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuuchunguza Ulimwengu


    Katika anga kubwa mno ya ulimwengu iliyojaa nyota, sayari zinagongana, na mfululizo wa michakato migumu huzaa sayari mpya.… Sayari zisizo na idadi za mbingu ulimwenguni zote hufanya kazi kwa ulinganifu—ni nani huzielekeza? Filamu ya Kikristo ya muziki—Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu—hivi karibuni itafichua ukweli wa kweli!

Jumatatu, 11 Juni 2018

"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (6) - Bwana Yesu ni Mwana wa Mungu au Mungu Mwenyewe

"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (6) - Bwana Yesu ni Mwana wa Mungu au Mungu Mwenyewe


    Imeandikwa waziwazi katika Biblia kwamba Bwana Yesu ni Kristo, kwamba Yeye ni Mwana wa Mungu. Lakini Umeme wa Mashariki unashuhudia kwamba Kristo aliyepata mwili ni dhihirisho la Mungu, kwamba Yeye ni Mungu Mwenyewe. Kwa hiyo Kristo aliyepata mwili ni Mwana wa Mungu? Au Yeye ni Mungu Mwenyewe? Mwenyezi Mungu asema, "'Yesu ni Mwana mpendwa wa Mungu, ambaye anapendezwa Naye'....

Tafakuri kuhusu Kubadilishwa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Umeme wa Mashariki

30. Tafakuri kuhusu Kubadilishwa

Yi Ran    Mji wa Laiwu , Mkoa wa Shandong
Wakati fulani awali, kwa sababu yangu kutoelewa kanuni iliyotumiwa na kanisa ya masahihisho ya wafanyakazi wa kanisa, wakati kanisa lilibadilisha kiongozi, dhana iliibuka ndani yangu. Kutoka kwa kile nilichoweza kuona, dada aliyebadilishwa alikuwa mzuri sana kwa kupokea na kushirikiana ukweli, na aliweza kuwa wazi juu ya maonyesho yake ya upotovu.

Jumapili, 10 Juni 2018

10. Usitafute Mbinu Mpya Unapomtumikia Mungu

10. Usitafute Mbinu Mpya Unapomtumikia Mungu

Heyi   Mji wa Zhuanghe, Mkoa wa Liaoning
Nilikuwa nimepandishwa cheo tu kuchukua jukumu la kiongozi wa kanisa. Lakini baada ya kipindi cha kazi ngumu, sio tu kuwa kazi ya kiinjili ilikuwa bila uhai kiasi, lakini ndugu zangu wa kiume na wa kike katika timu ya kiinjili walikuwa pia wakiishi katika hali hasi na ya udhaifu. Nikiwa nimekabiliwa na hali hii, sikuweza tena kudhibiti hisia zangu.

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu juu ya Kila Kitu" | Ushuhuda wa Nguvu ya Mungu

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu juu ya Kila Kitu" | Ushuhuda wa Nguvu ya Mungu


Throughout the vast universe, all celestial bodies move precisely within their own orbits. Under the heavens, mountains, rivers, and lakes all have their boundaries, and all creatures live and reproduce throughout the four seasons in accordance with the laws of life…. This is all so exquisitely designed—is there a Mighty One ruling and arranging all this?