Jumamosi, 26 Mei 2018

"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (5) | Kufahamu Umuhimu wa Mungu Kupata Mwili Mara Mbili


"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (5) | Kufahamu Umuhimu wa Mungu Kupata Mwili Mara Mbili


    Kupata mwili wa Mungu wa kwanza Alipigiliwa misumari msalabani, hivyo kuhitimisha kazi ya kuwakomboa wanadamu. Katika siku za mwisho, kupata mwili wa Mungu wa pili anaonyesha ukweli na Anafanya kazi Yake ya hukumu na kuadibu, Akiwaokoa wanadambu kabisa kutoka kwa miliki ya Shetani.

Ijumaa, 25 Mei 2018

39. Kutumia Neno la Mungu Kama Kioo

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Umeme wa Mashariki

39. Kutumia Neno la Mungu Kama Kioo

Wu Xia    Mji wa Linyi , Mkoa wa Shandong
Baada ya kuikubali kazi hii na kula na kunywa neno la Mungu, ilikuwa dhahiri kwangu kwamba ni muhimu sana kwamba mimi nijifahamu. Kwa hiyo, nilipokuwa nikila na kunywa neno la Mungu, nilihakikisha nimejithibitisha tena dhidi ya neno ambalo Mungu humfichua mwanadamu. Katika hali nyingi, niliweza kutambua kasoro zangu na upungufu. Nilihisi kwamba ningekuja kujifahamu kweli.

Christian Video Swahili "Bahati na Bahati Mbaya" | Mshukuru Mungu kwa Neema Yake ya Ajabu


Christian Video Swahili "Bahati na Bahati Mbaya" | Mshukuru Mungu kwa Neema Yake ya Ajabu

    Kwa sababu yeye alitoka katika familia iliyo masikini, tangu akiwa na umri mdogo Du Juan alikusudia kutengeneza pesa nyingi sana apate kuishi maisha mazuri. Ili kufikia lengo hili, aliacha shule mapema zaidi kwenda kufanya kazi ya mikono, chochote angeweza kufanya ili apate pesa. Yeye hakulalamika wakati kazi ilikuwa ngumu na ya kuchokesha.

Alhamisi, 24 Mei 2018

"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (3) - Tofauti Kati ya Ubinadamu wa Kawaida wa Kristo na Ubinadamu wa Wanadamu wapotovu

"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (3) - Tofauti Kati ya Ubinadamu wa Kawaida wa Kristo na Ubinadamu wa Wanadamu wapotovu

    Mungu anapata mwili kumwokoa mwanadamu na, kutoka nje, Mungu mwenye mwili Anaonekana kuwa mtu wa kawaida. Lakini je, wajua tofauti muhimu kati ya ubinadamu wa kawaida wa Mungu mwenye mwili na ubinadamu wa wanadamu wapotovu? Mwenyezi Mungu asema, "Mwili uliovaliwa na Roho wa Mungu ni mwili wa Mungu mwenyewe.

71. Ambua Barakoa, na Uanze Maisha Upya

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Umeme wa Mashariki


71. Ambua Barakoa, na Uanze Maisha Upya

Chen Dan    Mkoa wa Hunan
Mwishoni mwa mwaka jana, kwa sababu sikuweza kuzindua kazi ya injili katika eneo langu, familia ya Mungu ilimhamisha ndugu mmoja wa kiume kutoka eneo jingine ili kuchukua kazi yangu. Kabla ya haya sikuwa nimearifiwa, bali nilisikia kwa njia isiyo ya moja kwa moja kutoka kwa dada mmoja niliyekuwa mbia naye. Nilifadhaika sana.

Jumatano, 23 Mei 2018

46. Maana halisi ya "Uasi dhidi ya Mungu"



46. Maana halisi ya "Uasi dhidi ya Mungu"

Zhang Jun    Mji wa Shenyang, Mkoa wa Liaoning
Katika siku za nyuma, niliamini kuwa "uasi dhidi ya Mungu" ilimaanisha kumsaliti Mungu, kuacha kanisa, au kuutelekeza wajibu wa mtu. Nilidhani tabia hizi hufanyiza uasi. Kwa hiyo, wakati wowote niliposikia kuhusu watu wakihusika katika tabia hizo, ningejikumbusha kwamba sipaswi kuasi dhidi ya Mungu kama walivyofanya.

"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (1) - Ni Jinsi Gani Bwana Ataonekana kwa Mwanadamu Atakaporudi Tena

"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (1) - Ni Jinsi Gani Bwana Ataonekana kwa Mwanadamu Atakaporudi Tena


    Katika karne zote tangu Bwana Yesu alipofufuka na Akapaa mbinguni, sisi waumini tumetamani sana kwa hamu kurudi kwa Yesu Mwokozi. Watu wengi wanaamini kwamba utakuwa mwili wa kiroho wa Yesu aliyefufuka ambao utaonekana kwetu wakati Bwana atarudi. Lakini kwa nini Mungu ameonekana kwa mwanadamu akiwa mwili kama Mwana wa Adamu katika siku za mwisho?