Jumapili, 22 Aprili 2018

Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi | Kwaya ya Injili

Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi | Kwaya ya Injili


Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi

Mfalme mwenye ushindi amekuwa ameketi kwenye kiti kitukufu cha enzi.
Amekamilisha ukombozi, akiongoza watu Wake wote kuonekana katika utukufu.
Vitu vyote vimo mkononi Mwake. Kwa busara takatifu na nguvu,
Amejenga na kuimarisha Sayuni, kujenga na kuimarisha Sayuni.

Umeme wa Mashariki | Njia ya Huduma ya Kidini lazima Ipigwe Marufuku

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Umeme wa Mashariki
Umeme wa Mashariki | Sitisha Huduma ya Kidini

Umeme wa Mashariki |  Njia ya Huduma ya Kidini lazima Ipigwe Marufuku


Mwenyezi Mungu alisema, Tangu mwanzo wa kazi Yake katika ulimwengu mzima, Mungu ameamulia kabla watu wengi kumhudumia Yeye, wakiwemo watu kutoka kila nyanja ya maisha. Kusudio Lake ni kutimiza mapenzi Yake Mwenyewe na kuhakikisha kwamba kazi Yake hapa ulimwenguni imetimia. Hili ndilo kusudio la Mungu katika kuwachagua watu wa kumhudumia Yeye. Kila mtu anayehudumia Mungu lazima aelewe mapenzi haya ya Mungu.

Jumamosi, 21 Aprili 2018

Nitampenda Mungu Maisha Yangu Yote | "Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri" (Video Rasmi ya Muziki)

Nitampenda Mungu Maisha Yangu Yote | "Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri" (Video Rasmi ya Muziki)


Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri

Juu ya miti, nikiukwea mwezi wa amani. Kama mpendwa wangu, wa haki na mzuri.
Ee mpendwa wangu, Uko wapi? Sasa mimi nina machozi. Je, Wanisikia nikilia?
Wewe Ndiwe hunipa upendo. Wewe Ndiwe Unayenitunza.
Wewe Ndiwe unayeniwaza daima, Wewe Ndiwe unayeyatunza maisha yangu.
Mwezi, nyuma ya upande wa pili wa anga. Usimfanye mpendwa wangu asubiri muda mrefu sana.
Tafadhali mwambie Yeye ninamkosa sana.
Usisahau kuubeba pamoja nawe upendo wangu, pamoja nawe upendo wangu.

Jinsi ya Kuhudumu kwa Upatanifu na Mapenzi ya Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Jinsi ya Kuhudumu kwa Upatanifu na Mapenzi ya Mungu

Jinsi ya Kuhudumu kwa Upatanifu na Mapenzi ya Mungu


Mwenyezi Mungu alisema, Leo, tutawasiliana hasa jinsi watu wanavyostahili kumhudumia Mungu katika imani yao Mungu, masharti yanayopaswa kutimizwa na kinachopaswa kufahamika na watu wanaomhudumia Mungu, na mikengeuko ipi iliyoko katika huduma yako. Unapaswa kufahamu haya yote. Masuala haya yanagusia jinsi unavyomwamini Mungu, jinsi unavyotembea katika njia ya kuongozwa na Roho Mtakatifu, na jinsi mambo yako yote yanavyopangwa na Mungu, na yatakuwezesha kujua kila hatua ya kazi ya Mungu ndani yako.

Ijumaa, 20 Aprili 2018

"Mji Utaangushwa" (5) - Mji mkuu wa dini wa Babeli Umekusudiwa Kuangamia Chini ya Ghadhabu ya Mungu!

"Mji Utaangushwa" (5) - Mji mkuu wa dini wa Babeli Umekusudiwa Kuangamia Chini ya Ghadhabu ya Mungu!


    Ulimwengu wa dini humkaidi na kumlaani Mwenyezi Mungu, ukitenda matendo maovu yasiyohesabika, na wamekuwa kambi ya Shetani ambayo humpinga Mungu vikali. Mji mkuu wa dini wa Babeli umekusudiwa kuangamia chini ya ghadhabu ya Mungu! Ufunuo unatabiri, "Ole, ole ule mji mkuu Babeli, ule mji ulio na uwezo!

Umeme wa Mashariki | Waovu Lazima Waadhibiwe

Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu
Umeme wa Mashariki | Waovu Lazima Waadhibiwe

Umeme wa Mashariki | Waovu Lazima Waadhibiwe


Mwenyezi Mungu alisema, Kukagua kama unatenda uhaki katika kila jambo unalotenda, na iwapo matendo yako yanachunguzwa na Mungu, ni tabia za kanuni za wale wanaomwamini Mungu. Utaitwa mwenye haki kwa sababu una uwezo wa kukidhi matakwa ya Mungu, na kwa sababu umekubali utunzaji na ulinzi wa Mungu. Machoni pa Mungu, wote wanaokubali utunzaji, ulinzi na ukamilishaji Wake na wale waliopatwa Naye, ni wenye haki na hutazamwa kwa upendo sana Mungu.

Alhamisi, 19 Aprili 2018

Maono ya Kazi ya Mungu (3)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Maono ya Kazi ya Mungu (3)

Maono ya Kazi ya Mungu (3)



Mwenyezi Mungu alisema, Mara ya kwanza Mungu alipopata mwili ilikuwa kupitia kutungwa mimba kwa Roho Mtakatifu, na ilihusiana na kazi Aliyokusudia kufanya. Jina la Yesu liliashiria mwanzo wa Enzi ya Neema. Wakati Yesu Alianza kufanya huduma Yake, Roho Mtakatifu Alianza kutoa ushuhuda kwa jina la Yesu, na jina la Yehova halikuzungumziwa tena, na badala yake Roho Mtakatifu Alianza kazi mpya hasa kwa jina la Yesu.