Jumanne, 17 Aprili 2018

Unapaswa Kuishi Kwa Ajili Ya Ukweli Kwa Maana Unamwamini Mungu

Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Unapaswa Kuishi Kwa Ajili Ya Ukweli Kwa Maana Unamwamini Mungu

Unapaswa Kuishi Kwa Ajili Ya Ukweli Kwa Maana Unamwamini Mungu


MwenyeziMungu alisema, Tatizo la kawaida lililo miongoni mwa binadamu wote ni kwamba wao huuelewa ukweli lakini hawawezi kuuweka katika matendo. Sababu moja ni kwamba binadamu hana nia ya kulipa gharama, na sababu nyingine ni kwamba utambuzi wa mwanadamu ni duni mno; hawezi kuona zaidi ya ugumu mwingi ulio katika hali halisi ya maisha na hajui jinsi ya kutenda kwa njia inayofaa.

Jumatatu, 16 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | "Mji Utaangushwa" (1) - Ulimwengu wa Dini Umepotoka na kuwa Mji wa Babeli

Umeme wa Mashariki | "Mji Utaangushwa" (2) - Mbona Dhiki Imewafika Mafarisayo Wanafiki?


    Viongozi wa ulimwengu wa dini wanapotea toka kwenye njia ya Bwana na kufuata mitindo ya kidunia, pia wao hushirikiana na uasi mkali wa mamlaka ya utawala na shutuma ya Umeme wa Mashariki, na tayari wameanza kutembea kwenye njia ya upinzani kwa Mungu. Ulimwengu wa dini umepotoka na kuwa mji wa Babeli.

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Kwanza

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Kwanza



Mwenyezi Mungu alisema, Kama tu Mungu alivyosema, “Hakuna anayeweza kuelewa mzizi wa maneno Yangu, wala kusudi la maneno haya. Kama Isingekuwa uongozi wa Roho wa Mungu, kama isingekuwa kwa majilio ya maneno Yake, wote wangeangamia chini ya kuadibu Kwake. Ni kwa nini Mungu humjaribu mwanadamu kwa muda mrefu hivyo? Na kwa muda mrefu kama miezi mitano? Hili ndilo wazo la kulenga la ushirika wetu na vilevile wazo kuu katika hekima ya Mungu.

Jumapili, 15 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | "Mji Utaangushwa" (2) - Mbona Dhiki Imewafika Mafarisayo Wanafiki?

Umeme wa Mashariki | "Mji Utaangushwa" (2) - Mbona Dhiki Imewafika Mafarisayo Wanafiki?


    Imeandikwa katika Biblia kwamba Bwana Yesu aliwalaani Mafarisayo kwa dhiki saba. Siku hizi, njia inayotembelewa na wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini ni ile ya Mafarisayo na hali kadhalika wanapitia chuki ya Mungu na kukataliwa. Hivyo kwa nini Bwana Yesu aliwahukumu na kuwalaani Mafarisayo?

Wale Wanaomjua Mungu Pekee Ndio Wanaoweza Kuwa na Ushuhuda Kwa Mungu

Wale Wanaomjua Mungu Pekee Ndio Wanaoweza Kuwa na Ushuhuda Kwa Mungu


Mwenyezi Mungu alisema, Ni sheria ya Mbinguni na kanuni za duniani kumwamini Mungu na kumjua Mungu, na leo—wakati wa enzi ambapo Mungu mwenye mwili Anafanya kazi Yake mwenyewe—ndio wakati mwafaka hasa wa kumjua Mungu. Kumridhisha Mungu kunaafikiwa kwa msingi wa kufahamu mapenzi ya Mungu, na kuyafahamu mapenzi ya Mungu, ni muhimu kumjua Mungu. Ufahamu huu wa Mungu ni maono ambayo muumini anapaswa kuwa nayo; huu ndio msingi wa imani ya mwanadamu katika Mungu.

Jumamosi, 14 Aprili 2018

Maonyesho ya Awali ya Video za Injili | Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? "Bwana Wangu Ni Nani"

Maonyesho ya Awali ya Video za Injili | Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? "Bwana Wangu Ni Nani"


    Liu Zhizhong ni mzee katika kanisa moja la mtaani la nyumba nchini China. Amekuwa muumini kwa zaidi ya miaka 30, na amesisitiza bila kukoma kwamba “Biblia ni ufunuo wa Mungu,” “Biblia inamwakilisha Mungu, kuamini katika Mungu ni kuamini katika Biblia, kuamini katika Biblia ni kuamini katika Mungu.” Moyoni mwake, Biblia ni kuu.

Umeme wa Mashariki | Kutanafusi kwa Mwenye Uweza

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Umeme wa Mashariki | Kutanafusi kwa Mwenye Uweza

Umeme wa Mashariki | Kutanafusi kwa Mwenye Uweza


Kunayo siri kubwa moyoni mwako. Huifahamu kamwe kwa sababu umekuwa ukiishi katika ulimwengu usio na mwanga unaoangaza. Moyo wako na roho yako vimechukuliwa mateka na yule mwovu. Macho yako yamefunikwa na giza; huwezi kuliona jua angani, wala nyota ikimetameta wakati wa usiku. Masikio yako yamezibwa na maneno ya udanganyifu na husikii sauti ya Yehova ingurumayo kama radi, wala sauti ya maji yatiririkayo kutoka katika kiti cha enzi. Umepoteza kila kitu ambacho kilipaswa kuwa chako na kila kitu ambacho mwenye Uweza alikupa.