Ijumaa, 23 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | Njia... (6)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Umeme wa Mashariki | Njia... (6)

Umeme wa Mashariki | Njia... (6)


Mwenyezi Mungu alisema, Ni kwa sababu ya kazi ya Mungu ndio tumeletwa katika siku hii. Kwa hiyo, sisi sote ni wasaliaji katika mpango wa usimamizi wa Mungu, na kwamba tunaweza kubakizwa mpaka siku hii ni kutiwa moyo kwa hali ya juu kutoka kwa Mungu. Kulingana na mpango wa Mungu, nchi ya joka kuu jekundu inapaswa kuangamizwa, lakini Ninadhani kwamba labda Ameanzisha mpango mwingine, au Anataka kutekeleza sehemu nyingine ya kazi Yake.

Alhamisi, 22 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | Njia… (5)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Umeme wa Mashariki | Njia… (5)

Umeme wa Mashariki | Njia… (5)


Mwenyezi Mungu alisema, Ilikuwa kwamba hakuna aliyejua Roho Mtakatifu, na hasa hawakujua njia ya Roho Mtakatifu ilikuwa gani. Ndio maana watu kila mara walifanya upumbavu mbele ya Mungu. Inaweza kusemwa kwamba karibu watu wote wanaoamini katika Mungu hawamjui Roho, lakini tu wana aina ya imani iliyochanganyikiwa.

Jumatano, 21 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | "Vunja Pingu na Ukimbie" (3) - Enda Nje ya Biblia: Hudhuria Karamu ya Ufalme wa Mbinguni Pamoja na Bwana

  

Umeme wa Mashariki | "Vunja Pingu na Ukimbie" (3) - Enda Nje ya Biblia: Hudhuria Karamu ya Ufalme wa Mbinguni Pamoja na Bwana


Watu wengi ambao wana imani katika Bwana huhisi kwamba maneno na kazi ya Mungu vyote viko katika Biblia, kwamba wokovu wa Mungu kama ulivyoelezewa katika Biblia tayari umejaa, kwamba imani katika Mungu lazima iwe kwa msingi wa Biblia na kwamba kama imani yetu kwa Mungu ni kwa msingi wa Biblia, basi kwa hakika tutanyakuliwa kuingia katika ufalme wa mbinguni.

Jumanne, 20 Machi 2018

"Vunja Pingu na Ukimbie" (4) - Jifungue Kutoka kwa Utumwa wa Mafarisayo wa Kidini na Kurudi Kwa Mungu

 

"Vunja Pingu na Ukimbie" (4) - Jifungue Kutoka kwa Utumwa wa Mafarisayo wa Kidini na Kurudi Kwa Mungu



Katika jumuiya ya kidini, wachungaji wanajua Biblia kwa kina na mara nyingi huelezea vifungu kutoka kwa Biblia kwa watu. Kutoka kwa macho yetu, inaonekana kuwa wote wanamjua Mungu, lakini kwa nini kuna watu wengi katika ulimwengu wa kidini ambao huilaumu na kuipinga kazi ya Mungu mwenye mwili ya siku za mwisho?

Umeme wa Mashariki | Njia… (4)

 Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Umeme wa Mashariki | Njia… (4)

Umeme wa Mashariki | Njia… (4)


Mwenyezi Mungu alisema, Kwamba watu wanaweza kugundua kupendeza kwa Mungu, kutafuta njia ya kumpenda Mungu katika enzi hii, na kwamba wako radhi kukubali mafunzo ya ufalme wa leo—hii yote ni neema ya Mungu na hata zaidi, ni Yeye ndiye anawainua wanadamu. Kila Nifikiriapo juu ya hili Mimi huhisi kwa uthabiti kupendeza kwa Mungu.

Jumatatu, 19 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | Njia… (2)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Umeme wa Mashariki | Njia… (2)

Umeme wa Mashariki | Njia… (2)


Mwenyezi Mungu alisema, Labda ndugu na dada zetu wana muhtasari kidogo wa utaratibu, hatua, na mbinu za kazi ya Mungu katika China bara, lakini Mimi huhisi kila mara kwamba ni heri kuwa na kumbukumbu au muhtasari kidogo wa ndugu na dada zetu. Ninatumia tu nafasi hii kusema machache ya kile kilicho moyoni Mwangu;

"Vunja Pingu na Ukimbie" (2) - Je, Kila Kitu Kilicho Katika Biblia ni Neno la Mungu?

"Vunja Pingu na Ukimbie" (2) - Je, Kila Kitu Kilicho Katika Biblia ni Neno la Mungu?


Kama watu wengi wa kidini wenye imani katika Bwana, Mzee Li daima amehisi kwamba "kila kitu kilicho katika Biblia kilitiwa msukumo na Mungu," "Biblia ni neno la Mungu," na "Biblia humwakilisha Mungu." Dhana hizi zilikuwa kwa muda mrefu zimeunda msingi wa imani yake.