Alhamisi, 15 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | Gospel Movie Video Swahili "Vunja Pingu Na Ukimbie" | Bwana ni Mchungaji Wangu

Umeme wa Mashariki | Gospel Movie Video Swahili "Vunja Pingu Na Ukimbie" | Bwana ni Mchungaji Wangu



Lee Chungmin alikuwa mzee wa kanisa fulani huko Seoul, Korea ya Kusini. Kwa zaidi ya miaka ishirini, alimtumikia Bwana kwa shauku kubwa, akamakinika kikamilifu juu ya kusoma Biblia. Akifuatia mfano wa viongozi wake wa kidini, alidhani kuwa kumwamini Bwana kulimaanisha kuiamini Biblia, na kwamba kuwa na imani katika Biblia kulikuwa sawa kabisa na kuwa na imani katika Bwana.

Umeme wa Mashariki | Sura ya 40. Unachopaswa Kujua Kuhusu Kuigeuza Tabia Yako


Mwenyezi Mungu alisema, Katika miaka yote ya kuipitia kazi na kusikiliza mahubiri, kuna watu wengine ambao wanajifahamu, na watu wengine ambao hawana ufahamu wowote kujihusu; watu wengine wanaweza kuzungumza kuhusu vitu fulani halisi, na kuwasiliana hali halisi zao wenyewe, kuingia kwao wenyewe, maendeleo yao wenyewe, dosari zao, na jinsi wanapanga kuingia ndani.

Jumatano, 14 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | 16. Kuvunja Pingu


Zhenxi Jijini Zhenzhou, Mkoani Hena
Miaka kumi iliyopita, nikiendeshwa na asili yangu ya kiburi, sikuweza kamwe kutii kikamilifu mipangilio ya kanisa. Ningetii ikiwa ilinifaa, lakini iwapo haingenifaa ningechagua iwapo ningetii au la. Hili lilisababisha kukiuka sana mipangilio ya kazi wakati wa kutimiza wajibu wangu.

Jumanne, 13 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | 4. Kutoka kwa Mateso Kunatoka Harufu Nzuri ya Upendo

Umeme wa Mashariki | 4. Kutoka kwa Mateso Kunatoka Harufu Nzuri ya Upendo


Xiaokai, Mkoa wa Jiangxi
Mimi ni mwanamke wa kawaida wa mashambani, na, kwa sababu ya dhana ya kikabaila ya kuthamini tu watoto wa kiume, sikuweza kuinua kichwa changu mbele ya wengine kwa ajili ya aibu ya kutozaa mtoto wa kiume. Wakati tu nilikuwa nikiteseka zaidi kabisa, nilichaguliwa na Bwana Yesu na, miaka miwili baadaye, nilikubali wokovu wa Mwenyezi Mungu.

Umeme wa Mashariki | 2. Nguvu ya Maisha Ambayo Haiwezi Kuzimwa Kamwe

Umeme wa Mashariki | 2. Nguvu ya Maisha Ambayo Haiwezi Kuzimwa Kamwe


Dong Mei, Mkoa wa Henan
Mimi ni mtu wa kawaida. Niliishi maisha ya kawaida. Kama wengi wanaotamani sana mwanga, nilijaribu njia nyingi kutafuta maana ya kweli ya uwepo wa wanadamu, nikijaribu kuyapa maisha yangu umuhimu zaidi. Mwishowe, juhudi zangu zote zilikuwa bure. Lakini baada ya kuwa na bahati ya kutosha kukubali kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho, mabadiliko ya muujiza yalitokea katika maisha yangu.

Jumatatu, 12 Machi 2018

1. Upendo wa Mungu Ulikuwa Nami Katika Gereza la Giza la Ibilisi

1. Upendo wa Mungu Ulikuwa Nami Katika Gereza la Giza la Ibilisi


Yang Yi, Mkoa wa Jiangsu
Mimi ni Mkristo wa Kanisa la Mwenyezi Mungu. Nimekuwa mfuasi wa Mwenyezi Mungu kwa zaidi ya miaka kumi. Katika wakati huu, kitu kimoja ambacho sitawahi kusahau ni taabu mbaya sana nilipokamatwa na polisi wa CCP muongo mmoja uliopita.

Jumapili, 11 Machi 2018

Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?


Wafuasi wengi wa Bwana Yesu Kristo husikia kuhusu Umeme wa Mashariki kutoka kwa wachungaji wao, wazee wa kanisa, au wahubiri, lakini kwa hakika hakuna mtu anayejua Umeme wa Mashariki ulitoka wapi. Linapokuja suala la asili ya Umeme wa Mashariki, kila mtu ana maoni yake mwenyewe: Watu wengine wanaamini kuwa ni dhehebu jipya tu katika Ukristo, wengine huitweza kuwa "uasi" au "dhehebu bovu." Watu wana mawazo haya ya upuuzi kwa sababu hawajui kazi ya Mungu.