Jumamosi, 24 Februari 2018

Sura ya 9. Kutafuta Mapenzi ya Mungu na Kuuweka Ukweli Katika Vitendo Kwa Kiasi Kikubwa Zaidi Iwezekanavyo


Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, ukweli
Sura ya 9. Kutafuta Mapenzi ya Mungu na Kuuweka Ukweli Katika Vitendo Kwa Kiasi Kikubwa Zaidi Iwezekanavyo

Sura ya 9. Kutafuta Mapenzi ya Mungu na Kuuweka Ukweli Katika Vitendo Kwa Kiasi Kikubwa Zaidi Iwezekanavyo


Mwenyezi Mungu alisema, Punde tu watu wanapokuwa na haraka wakati wakiutumiza wajibu wao, hawajui jinsi ya kuuzoea; punde tu wanaposhughulika na mambo, hali yao ya kiroho inakuwa na matatizo; hawawezi kudumisha hali yao ya kawaida. Inawezekanaje kuwa hivi? Unapoombwa kufanya kazi kidogo, haufuati ukawaida, unakosa mipaka, husogei karibu na Mungu na unajitenga mbali na Mungu. Hili linadhibitisha kwamba watu hawajui jinsi ya kuwa na uzoefu.

Umeme wa Mashariki | Sura ya 10. Wale Wanaopenda Ukweli Wana Njia ya Kufuata

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu
Umeme wa Mashariki | Sura ya 10. Wale Wanaopenda Ukweli Wana Njia ya Kufuata

Umeme wa Mashariki |  Sura ya 10. Wale Wanaopenda Ukweli Wana Njia ya Kufuata




Mwenyezi Mungu alisema, 1. Kama hali ya Watu Ni Ya Kawaida Inategemea na Kama Wanapenda Ukweli au La
Watu wengi wameibua suala lifuatalo: Baada ya ushirika wa juu, wanahisi wazi kabisa, wanakuwa na nguvu zaidi, na hawana hisia hasi—lakini hali kama hiyo inabaki tu kwa karibu siku kumi, ambapo baadaye hawawezi kudumisha hali ya kawaida. Suala ni nini?

Ijumaa, 23 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Sura ya 29. Mtu Lazima Ajue Jinsi Ambayo Mungu Hufanya Kazi



Umeme wa Mashariki |  Sura ya 29. Mtu Lazima Ajue Jinsi Ambayo Mungu Hufanya Kazi


Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ya Mungu, iwe ni kwa mwili au kwa Roho, yote inafanywa kulingana na mpango wa usimamizi. Kazi Yake haifanywi kulingana na kama ni ya umma au ya kibinafsi, au kulingana na mahitaji ya mwanadamu—inafanywa kikamilifu kulingana na mpango wa usimamizi. Hatua hii ya kazi haiwezi kufanywa kwa njia yoyote ya zamani: Inapaswa kukamilika juu ya msingi wa hatua mbili zilizopita za kazi. Hatua ya pili ya kazi iliyokamilishwa wakati wa Enzi ya Neema ilimpa mwanadamu ukombozi.

Umeme wa Mashariki | Sura ya 23. Jinsi ya kuelewa Umoja wa Mwili na Roho

Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu
Umeme wa Mashariki | Sura ya 23. Jinsi ya kuelewa Umoja wa Mwili na Roho

Umeme wa Mashariki | Sura ya 23. Jinsi ya kuelewa Umoja wa Mwili na Roho


Mwenyezi Mungu alisema, Baadhi ya watu huuliza, “Mungu huangalia kwa makini moyo wa binadamu, na mwili na Roho wa Mungu ni moja. Mungu hujua kila kitu ambacho watu husema, kwa hivyo Mungu anajua kwamba sasa ninamwamini?” Kujibu hili swali huhusisha jinsi ya kuelewa Mungu mwenye mwili na uhusiano kati ya Roho Wake na mwili. Baadhi husema, “Mungu ni halisi kwa njia thabiti.”

Alhamisi, 22 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Utendaji (3)

Umeme wa Mashariki |  Utendaji (3)

Mwenyezi Mungu alisema, Lazima muwe na uwezo wa kuishi kwa kujitegemea, kuweza kula na kunywa maneno ya Mungu ninyi wenyewe, kupitia maneno ya Mungu ninyi wenyewe, na kuishi maisha ya kiroho ya kawaida bila uongozi wa wengine; lazima muweze kuyategemea maneno ya Mungu ya leo ili kuishi, kuingia katika uzoefu wa kweli, na kuona kwa hakika. Ni wakati huo tu ndipo mtaweza kusimama imara. Leo, watu wengi hawaelewi kikamilifu majonzi na majaribio ya siku za usoni. Katika siku za usoni, watu wengine watapitia majonzi, na wengine watapitia adhabu.

Jumatano, 21 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Utendaji (2)


Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Yesu
Umeme wa Mashariki | Utendaji (2)

Umeme wa Mashariki | Utendaji (2)


Mwenyezi Mungu alisema, Katika nyakati zilizopita, watu walijifundisha wenyewe kuwa na Mungu na kuishi katikati ya roho kila wakati, ambao, ukilinganishwa na utendaji wa leo, ni mafundisho rahisi ya kiroho tu. Utendaji kama huu huja kabla ya kuingia kwa watu katika njia sahihi ya maisha, na ni mbinu ya juujuu zaidi na rahisi zaidi kati ya mbinu zote za utendaji.

Umeme wa Mashariki | Utendaji (1)

Umeme wa Masharik , Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu
Umeme wa Mashariki | Utendaji (1)

Umeme wa Mashariki | Utendaji (1)


Mwenyezi Mungu alisema, Mbeleni, kulikuwa na kupotoka kwingi katika jinsi watu walipata uzoefu, na kungeweza hata kuwa kwa ajabu. Kwa sababu tu hawakuelewa viwango vya mahitaji ya Mungu, kulikuwa na maeneo mengi ambayo uzoefu wa watu ulienda kombo. Sharti la Mungu kwa mtu ni kwao kuwa na uwezo wa kuishi kwa kudhihirisha ubinadamu wa kawaida.