Ijumaa, 23 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Sura ya 29. Mtu Lazima Ajue Jinsi Ambayo Mungu Hufanya Kazi



Umeme wa Mashariki |  Sura ya 29. Mtu Lazima Ajue Jinsi Ambayo Mungu Hufanya Kazi


Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ya Mungu, iwe ni kwa mwili au kwa Roho, yote inafanywa kulingana na mpango wa usimamizi. Kazi Yake haifanywi kulingana na kama ni ya umma au ya kibinafsi, au kulingana na mahitaji ya mwanadamu—inafanywa kikamilifu kulingana na mpango wa usimamizi. Hatua hii ya kazi haiwezi kufanywa kwa njia yoyote ya zamani: Inapaswa kukamilika juu ya msingi wa hatua mbili zilizopita za kazi. Hatua ya pili ya kazi iliyokamilishwa wakati wa Enzi ya Neema ilimpa mwanadamu ukombozi.

Umeme wa Mashariki | Sura ya 23. Jinsi ya kuelewa Umoja wa Mwili na Roho

Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu
Umeme wa Mashariki | Sura ya 23. Jinsi ya kuelewa Umoja wa Mwili na Roho

Umeme wa Mashariki | Sura ya 23. Jinsi ya kuelewa Umoja wa Mwili na Roho


Mwenyezi Mungu alisema, Baadhi ya watu huuliza, “Mungu huangalia kwa makini moyo wa binadamu, na mwili na Roho wa Mungu ni moja. Mungu hujua kila kitu ambacho watu husema, kwa hivyo Mungu anajua kwamba sasa ninamwamini?” Kujibu hili swali huhusisha jinsi ya kuelewa Mungu mwenye mwili na uhusiano kati ya Roho Wake na mwili. Baadhi husema, “Mungu ni halisi kwa njia thabiti.”

Alhamisi, 22 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Utendaji (3)

Umeme wa Mashariki |  Utendaji (3)

Mwenyezi Mungu alisema, Lazima muwe na uwezo wa kuishi kwa kujitegemea, kuweza kula na kunywa maneno ya Mungu ninyi wenyewe, kupitia maneno ya Mungu ninyi wenyewe, na kuishi maisha ya kiroho ya kawaida bila uongozi wa wengine; lazima muweze kuyategemea maneno ya Mungu ya leo ili kuishi, kuingia katika uzoefu wa kweli, na kuona kwa hakika. Ni wakati huo tu ndipo mtaweza kusimama imara. Leo, watu wengi hawaelewi kikamilifu majonzi na majaribio ya siku za usoni. Katika siku za usoni, watu wengine watapitia majonzi, na wengine watapitia adhabu.

Jumatano, 21 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Utendaji (2)


Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Yesu
Umeme wa Mashariki | Utendaji (2)

Umeme wa Mashariki | Utendaji (2)


Mwenyezi Mungu alisema, Katika nyakati zilizopita, watu walijifundisha wenyewe kuwa na Mungu na kuishi katikati ya roho kila wakati, ambao, ukilinganishwa na utendaji wa leo, ni mafundisho rahisi ya kiroho tu. Utendaji kama huu huja kabla ya kuingia kwa watu katika njia sahihi ya maisha, na ni mbinu ya juujuu zaidi na rahisi zaidi kati ya mbinu zote za utendaji.

Umeme wa Mashariki | Utendaji (1)

Umeme wa Masharik , Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu
Umeme wa Mashariki | Utendaji (1)

Umeme wa Mashariki | Utendaji (1)


Mwenyezi Mungu alisema, Mbeleni, kulikuwa na kupotoka kwingi katika jinsi watu walipata uzoefu, na kungeweza hata kuwa kwa ajabu. Kwa sababu tu hawakuelewa viwango vya mahitaji ya Mungu, kulikuwa na maeneo mengi ambayo uzoefu wa watu ulienda kombo. Sharti la Mungu kwa mtu ni kwao kuwa na uwezo wa kuishi kwa kudhihirisha ubinadamu wa kawaida.

Jumanne, 20 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Sura ya 19. Maana ya Mungu Kuupitia Uchungu wa Dunia

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, kupata mwili
Umeme wa Mashariki | Sura ya 19. Maana ya Mungu Kuupitia Uchungu wa Dunia

Umeme wa Mashariki | Sura ya 19. Maana ya Mungu Kuupitia Uchungu wa Dunia


Mwenyezi Mungu alisema, Mungu anapata mwili ili ateseke kwa niaba ya mwanadamu, na kwa kufanya hivyo atasababisha hatima iliyo ya ajabu ambayo itafuata kwa ajili ya mwanadamu. Hatua hiyo ya kazi iliyokamilishwa na Yesu ilikuwa tu kuwa Kwake mfano wa mwili wenye dhambi na kusulubiwa, kuhudumu Kwake kama sadaka ya dhambi na kuwakomboa wanadamu wote, na hii iliweka msingi wa kuingia kwa baadaye kwa mwanadamu katika hatima iliyo ya ajabu.

Umeme wa Mashariki | 41 Jinsi ya Kujua Asili ya Mwanadamu

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, ukweli
Umeme wa Mashariki | 41  Jinsi ya Kujua Asili ya Mwanadamu

Umeme wa Mashariki | 41  Jinsi ya Kujua Asili ya Mwanadamu


Mwenyezi Mungu alisema, Je, ni vitu vipi vya asili ya mwanadamu? Unajua tu kuhusu upotovu wa mwanadamu, uasi, upungufu, dosari, fikra, na dhamira, lakini huwezi kugundua sehemu za ndani za asili ya mwanadamu—unafahamu tu safu ya nje, lakini huwezi kugundua chanzo chake. Baadhi hata hufikiri haya mambo ya juu kuwa ni asili ya mwanadamu, wakisema, “Tazama, ninaelewa asili ya mwanadamu; ninatambua ufidhuli wangu.