Jumatano, 21 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Utendaji (2)


Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Yesu
Umeme wa Mashariki | Utendaji (2)

Umeme wa Mashariki | Utendaji (2)


Mwenyezi Mungu alisema, Katika nyakati zilizopita, watu walijifundisha wenyewe kuwa na Mungu na kuishi katikati ya roho kila wakati, ambao, ukilinganishwa na utendaji wa leo, ni mafundisho rahisi ya kiroho tu. Utendaji kama huu huja kabla ya kuingia kwa watu katika njia sahihi ya maisha, na ni mbinu ya juujuu zaidi na rahisi zaidi kati ya mbinu zote za utendaji.

Umeme wa Mashariki | Utendaji (1)

Umeme wa Masharik , Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu
Umeme wa Mashariki | Utendaji (1)

Umeme wa Mashariki | Utendaji (1)


Mwenyezi Mungu alisema, Mbeleni, kulikuwa na kupotoka kwingi katika jinsi watu walipata uzoefu, na kungeweza hata kuwa kwa ajabu. Kwa sababu tu hawakuelewa viwango vya mahitaji ya Mungu, kulikuwa na maeneo mengi ambayo uzoefu wa watu ulienda kombo. Sharti la Mungu kwa mtu ni kwao kuwa na uwezo wa kuishi kwa kudhihirisha ubinadamu wa kawaida.

Jumanne, 20 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Sura ya 19. Maana ya Mungu Kuupitia Uchungu wa Dunia

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, kupata mwili
Umeme wa Mashariki | Sura ya 19. Maana ya Mungu Kuupitia Uchungu wa Dunia

Umeme wa Mashariki | Sura ya 19. Maana ya Mungu Kuupitia Uchungu wa Dunia


Mwenyezi Mungu alisema, Mungu anapata mwili ili ateseke kwa niaba ya mwanadamu, na kwa kufanya hivyo atasababisha hatima iliyo ya ajabu ambayo itafuata kwa ajili ya mwanadamu. Hatua hiyo ya kazi iliyokamilishwa na Yesu ilikuwa tu kuwa Kwake mfano wa mwili wenye dhambi na kusulubiwa, kuhudumu Kwake kama sadaka ya dhambi na kuwakomboa wanadamu wote, na hii iliweka msingi wa kuingia kwa baadaye kwa mwanadamu katika hatima iliyo ya ajabu.

Umeme wa Mashariki | 41 Jinsi ya Kujua Asili ya Mwanadamu

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, ukweli
Umeme wa Mashariki | 41  Jinsi ya Kujua Asili ya Mwanadamu

Umeme wa Mashariki | 41  Jinsi ya Kujua Asili ya Mwanadamu


Mwenyezi Mungu alisema, Je, ni vitu vipi vya asili ya mwanadamu? Unajua tu kuhusu upotovu wa mwanadamu, uasi, upungufu, dosari, fikra, na dhamira, lakini huwezi kugundua sehemu za ndani za asili ya mwanadamu—unafahamu tu safu ya nje, lakini huwezi kugundua chanzo chake. Baadhi hata hufikiri haya mambo ya juu kuwa ni asili ya mwanadamu, wakisema, “Tazama, ninaelewa asili ya mwanadamu; ninatambua ufidhuli wangu.

Jumatatu, 19 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Sura ya 92. Njia ya Utendaji katika Kusuluhisha Ukaidi

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu
Umeme wa Mashariki | Sura ya 92. Njia ya Utendaji katika Kusuluhisha Ukaidi

Umeme wa Mashariki | Sura ya 92. Njia ya Utendaji katika Kusuluhisha Ukaidi


  Mwenyezi Mungu alisema, Mtu huwa na tatizo lipi anapopenda kupeana visingizio? Ni nini kiini chake? Yeye ni mkaidi. Watu wakaidi hawakubali ukweli kwa urahisi; sio watiifu, na wanaposikia neno moja ambalo haliambatani na dhana, mitazamo, wanayopenda, hisia au mihemko yao wenyewe, basi hawalikubali; husema, “Sijali iwapo liko sahihi au ni mbaya, ni nani aliyelinena, lilinenwa katika muktadha gani, au iwapo linahusiana na majukumu na wajibu wangu;

Jumapili, 18 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Tisa

Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu
Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Tisa

Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Tisa


Mwenyezi Mungu alisema, Siku hiyo ambayo vitu vyote vilifufuliwa, Nilikuja miongoni mwa wanadamu, na Nimeshinda naye kwa siku zilizokuwa za ajabu usiku na mchana. Ni katika hatua hii tu ndipo mwanadamu anaona wepesi Wangu wa kufikiwa, na vile uhusiano wake na Mimi unavyozidi kuwa mwingi, anaona baadhi ya kile Ninacho na Nilicho—na kwa sababu hii, anapata ufahamu kunihusu. Miongoni mwa watu wote, Ninainua kichwa Changu na kutazama, na wote wananiona.

Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani – Ni nini uhusiano kati ya Mungu na Biblia?


Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani – Ni nini uhusiano kati ya Mungu na Biblia?


Kwa miaka elfu mbili, tumemwamini Bwana kulingana na Biblia, na wengi wetu sana huamini "Biblia inamwakilisha Bwana, kumwamini Mungu ni kuamini Biblia, kuamini Biblia ni kumwamini Mungu," Je, mawazo haya ni sahihi? Kumwamini Mungu kunamaanisha nini kwa kweli? Kunamaanisha nini kuamini Biblia? Ni nini uhusiano kati ya Biblia na Mungu?