Jumamosi, 17 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Gospel Latest Movie Video Swahili "Wakati Wa Mabadiliko"

Umeme wa Mashariki | Gospel Latest Movie Video Swahili "Wakati Wa Mabadiliko"


Su Mingyue ni mhubiri wa kanisa la nyumbani huko bara China. Kwa miaka, amekuwa mtumishi aliyejitolea wa Bwana anayesisitiza kufanya kazi ya kuhubiri kwa ajili ya Bwana na kubeba mzigo wa kazi kwa ajili ya kanisa. Anaongozwa na neno la Paulo katika Biblia, akihisi kwamba kuamini tu katika Bwana kunatosha kuitwa mwenye haki na kuokolewa kwa neema.

Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini Na Nane

Umeme wa Mashariki , Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu
Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini Na Nane

Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini Na Nane


Mwenyezi Mungu alisema, Nilipokuja kutoka Zayuni, vitu vyote vilikuwa vimenisubiri, na Niliporudi Zayuni, Nilisalimiwa na wanadamu wote. Nilipokuja na kwenda, hatua Zangu hazikuwahi zuiliwa na vitu vilivyokuwa na uadui Kwangu, na kwa hivyo kazi Yangu iliendelea kwa utaratibu. Leo, Ninapokuja miongoni mwa viumbe vyote, vitu vyote vinanisalimu kwa kimya, kwa uoga mkuu kuwa Nitaondoka tena na Niondoe usaidizi kwao. 

Ijumaa, 16 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Gospel Movie Video Swahili "Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni"

Umeme wa Mashariki |  Gospel Movie Video Swahili "Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni"


Song Ruiming ni mchungaji wa kanisa huko Korea Kusini. Kama mfuasi wa dhati wa Bwana kwa miaka mingi, amekuwa akifuatilia imani yake kwa bidii sana na kumfanyia kazi Bwana huku akisubiri kuinuliwa hadi katika ufalme wa mbinguni Bwana atakaporudi. Katika miaka ya hivi karibuni, amekuwa akihisi kuchanganyikiwa sana na mwenye udhaifu anapokuwa akiona kwamba Kanisa halina kazi ya Roho Mtakatifu na linazidi kuwa na ukiwa.

Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Saba

Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu
Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Saba

Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Saba


Mwenyezi Mungu alisema, Mienendo ya binadamu haijawahi kuugusa moyo Wangu kamwe, wala kuonekana Kwangu kama kitu cha thamani. Machoni mwa mwanadamu, Mimi humweka katika sheria kali kila wakati, na kila mara Nimemweka chini ya mamlaka kali. Ndani ya matendo yote ya mwanadamu, ni mambo machache sana anayonifanyia Mimi, na mara nyingi hapana kitendo chake kisimamacho imara machoni Pangu.

Alhamisi, 15 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Tano

Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu
Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Tano

Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Tano


Muda unapita, na kufumba na kufumbua leo imefika. Chini ya uongozi wa Roho Wangu, watu wote wanaishi katikati ya mwanga Wangu, na hakuna anayefikiria yaliyopita ama kuiwekea jana maanani. Nani hajawahi kuishi katika wakati wa sasa? Ni nani ambaye hajapitia katika siku na miezi ya ajabu katika ufalme? Ni nani hajaishi chini ya jua?

Umeme wa Mashariki | Best Christian Worship Songs Swahili "Maisha Yetu Sio Bure"


Umeme wa Mashariki | Best Christian Worship Songs Swahili "Maisha Yetu Sio Bure"



Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.


Leo tunakutana na Mungu, tunapitia kazi Yake.
Tumemjua Mungu katika mwili, wa utendaji na wa hakika.
Tumeiona kazi Yake, nzuri na ya ajabu.
Kila siku ya maisha yetu sio bure.
Tunamshuhudia Kristo kama ukweli na uzima!

Jumatano, 14 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Sura ya 23

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu


Umeme wa Mashariki | Sura ya 23




Mwenyezi Mungu alisema, Ninapopaza sauti Yangu, macho Yangu yanapofyatua moto, Ninaitazama kwa uangalifu dunia nzima, Ninatazama kwa uangalifu ulimwengu mzima. Wanadamu wote wananiomba Mimi, wameinua macho yao kuelekea Kwangu, wakiomba Nipunguze hasira, na kuapa kutoniasi tena. Lakini haya siyo yaliyopita; bali yaliyopo kwa sasa. Ni nani anayeweza kubadilisha mapenzi Yangu? Kwa kweli sio sala katika moyo wa mwanadamu, wala maneno yanayotoka midomoni mwao?