Ijumaa, 16 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Saba

Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu
Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Saba

Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Saba


Mwenyezi Mungu alisema, Mienendo ya binadamu haijawahi kuugusa moyo Wangu kamwe, wala kuonekana Kwangu kama kitu cha thamani. Machoni mwa mwanadamu, Mimi humweka katika sheria kali kila wakati, na kila mara Nimemweka chini ya mamlaka kali. Ndani ya matendo yote ya mwanadamu, ni mambo machache sana anayonifanyia Mimi, na mara nyingi hapana kitendo chake kisimamacho imara machoni Pangu.

Alhamisi, 15 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Tano

Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu
Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Tano

Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Tano


Muda unapita, na kufumba na kufumbua leo imefika. Chini ya uongozi wa Roho Wangu, watu wote wanaishi katikati ya mwanga Wangu, na hakuna anayefikiria yaliyopita ama kuiwekea jana maanani. Nani hajawahi kuishi katika wakati wa sasa? Ni nani ambaye hajapitia katika siku na miezi ya ajabu katika ufalme? Ni nani hajaishi chini ya jua?

Umeme wa Mashariki | Best Christian Worship Songs Swahili "Maisha Yetu Sio Bure"


Umeme wa Mashariki | Best Christian Worship Songs Swahili "Maisha Yetu Sio Bure"



Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.


Leo tunakutana na Mungu, tunapitia kazi Yake.
Tumemjua Mungu katika mwili, wa utendaji na wa hakika.
Tumeiona kazi Yake, nzuri na ya ajabu.
Kila siku ya maisha yetu sio bure.
Tunamshuhudia Kristo kama ukweli na uzima!

Jumatano, 14 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Sura ya 23

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu


Umeme wa Mashariki | Sura ya 23




Mwenyezi Mungu alisema, Ninapopaza sauti Yangu, macho Yangu yanapofyatua moto, Ninaitazama kwa uangalifu dunia nzima, Ninatazama kwa uangalifu ulimwengu mzima. Wanadamu wote wananiomba Mimi, wameinua macho yao kuelekea Kwangu, wakiomba Nipunguze hasira, na kuapa kutoniasi tena. Lakini haya siyo yaliyopita; bali yaliyopo kwa sasa. Ni nani anayeweza kubadilisha mapenzi Yangu? Kwa kweli sio sala katika moyo wa mwanadamu, wala maneno yanayotoka midomoni mwao?

Mungu ni Mungu | "Zingatia Majaliwa ya Binadamu" | Swahili Christian Song

Mungu ni Mungu | "Zingatia Majaliwa ya Binadamu" | Swahili Christian Song

Zingatia Majaliwa ya Binadamu

Mungu awahimiza makabila yote, mataifa na nyanja zote:
Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake;
mzingatie hatima ya wanadamu;
mfanye Mungu Mtakatifu na Mheshimiwa, Mkuu na wa pekee wakuabudiwa,

Jumanne, 13 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Sura ya 22

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu

Umeme wa MasharikiSura ya 22

Mwanadamu anaishi katikati ya mwanga, ilhali hana habari kuhusu thamani ya mwanga huo. Hana ufahamu kuhusu kiini cha mwanga huo, na chanzo cha mwanga huo, na, zaidi ya hayo, hajui mmiliki wake ni nani. Ninapotuza mwanga huo miongoni mwa binadamu, papo hapo Ninachunguza hali ilivyo miongoni mwa wanadamu: Kwa sababu ya mwanga huo, watu wote wanabadilika, na wanakua, na wametoka gizani.

Christian Testimony Video Swahili "Utamu katika Shida" | Mungu Ndiye Nguvu Wangu

Christian Testimony Video Swahili "Utamu katika Shida" | Mungu Ndiye Nguvu Wangu


Han Lu ni kiongozi wa Kanisa la Mwenyezi Mungu katika China bara. Ameamini katika Mungu kwa zaidi ya muongo mmoja na amepitia kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho. Anaelewa baadhi ya ukweli na anajua kwamba ni kupitia tu Kristo wa siku za mwisho, Mwenyezi Mungu, ndiyo mwanadamu ataweza kuwekwa huru kutoka dhambini na kuishi maisha yenye maana.