Jumapili, 11 Februari 2018

Swahili Gospel Song "Sala ya Watu wa Mungu" | Kuishi katika Upendo wa Mungu

Swahili Gospel Song "Sala ya Watu wa Mungu" | Kuishi katika Upendo wa Mungu


Watu wa Mungu wanainuliwa mbele ya kiti Chake cha Enzi,
maombi mengi mioyoni mwao.
Mungu huwabariki wote wanaorejea Kwake;
wote wanaishi katika mwanga.
Omba Roho Mtakatifu alipe nuru neno la Mungu
ili kwamba tujue kikamilifu mapenzi ya Mungu.

Jumamosi, 10 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Sura ya 20

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki


Umeme wa Mashariki | Sura ya 20


Mwenyezi Mungu alisema, Utajiri wa jumba Langu ni bila idadi na usioeleweka, lakini mwanadamu hajawahi kuja Kwangu kuufurahia. Hana uwezo wa kuufurahia mwenyewe, wala wa kujilinda mwenyewe kwa kutumia juhudi zake mwenyewe; badala yake, yeye daima huweka imani yake kwa wengine. Kati ya wale wote Ninaowatazamia, hakuna mtu aliyewahi kunitafuta kwa makusudi na moja kwa moja.

Umeme wa Mashariki | Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(6): Kurudi

Umeme wa Mashariki | Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(6): Kurudi

Mwenyezi Mungu anasema, "Unapokuwa umechoka na unapoanza kuona huzuni katika ulimwengu huu, usifadhaike, usilie. Mwenyezi Mungu, Mlinzi, atakaribisha kuwasili kwako wakati wowote. Yupo pembeni mwako Anakuangalia, anakusubiri uweze kumrudia. Anasubiri siku ambayo kumbukumbu zako zitarejea" (Neno Laonekana katika Mwili) Jinsi tu Xiaozhen aliachwa akiwa ameviliwa na kupigwa na ulimwengu huu na alijitoa mwenyewe kwa kukata tamaa, upendo wa Mwenyezi Mungu ulimjia na moyo wake ukaamshwa …

Ijumaa, 9 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Sura ya 19

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Umeme wa MasharikiSura ya 19

Mwenyezi Mungu alisema, Ni wajibu wa mwanadamu kuchukua maneno Yangu kama msingi wa maisha yake. Mwanadamu lazima aanzishe fungu lake binafsi katika kila sehemu ya maneno Yangu; kutofanya hivyo kutakuwa kuuliza matata, kutafuta maangamizo yake mwenyewe. Binadamu haunijui, na kwa sababu ya hili, badala ya kuleta maisha yake Kwangu badala, anachofanya ni kujipanga tu mbele Yangu na takataka mikononi mwake, na hivyo kujaribu kuniridhisha.

Umeme wa Mashariki | Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(5): Maisha katika Bwalo la Dansi

Umeme wa Mashariki |  Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(5): Maisha katika Bwalo la Dansi


Akiishi nyuma ya kinyago, Xiaozhen alisimilishwa na kumezwa polepole na ulimwengu huu. Alipoteza heshima yake miongoni mwa njia potovu za ulimwengu mbaya …

Alhamisi, 8 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(4): Upotovu

Umeme wa Mashariki |  Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(4): Upotovu



Akiwa amekumbwa na ulimwengu mbaya na ukweli mkali, katika huzuni, Xiaozhen aliacha uaminifu wake na kung’ang’ana kuvaa kinyago. Kutoka wakati huo na kuendelea, alipotea …

Umeme wa Mashariki | Sura ya 26

Umeme wa Masharik, Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu
Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Sita

Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Sita


Mwenyezi Mungu alisema, Ni nani ameshinda nyumbani Kwangu? Ni nani amesimama kwa ajili Yangu? Ni nani ameteseka kwa ajili Yangu? Ni nani ameweka ahadi yake mbele Zangu? Ni nani amenifuata hadi leo lakini hajakuwa wa kutojali? Mbona wanadamu wote wana ubaridi na hawana hisia? Mbona binadamu ameniacha? Mbona mwanadamu amechoka na Mimi?