Jumanne, 6 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | 5. Tabia ya Mungu ni Haki na, Hata Zaidi, Upendo

Umeme wa Mashariki , Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu
Umeme wa Mashariki | 5. Tabia ya Mungu ni Haki na, Hata Zaidi, Upendo
Umeme wa Mashariki | 5. Tabia ya Mungu ni Haki na, Hata Zaidi, Upendo

Fang Xin, Beijing
Agosti 15, mwaka wa 2012
Tangu mwaka wa 2007, nilipoikubali kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho, ingawa nimeonekana juu juu kuwa na kazi nyingi sana kutekeleza majukumu yangu, sijaupa moyo wangu kwa Mungu, na mara nyingi nimehisi kufungwa kiasi cha msongo wa pumzi na masuala madogo ya familia. Kila wakati ninapowaza kuhusu ukweli kwamba binti yangu tayari ana umri wa miaka thelathini, na angali bado hajapata mwenzi wa kufaa, mimi hulalamika kwa Mungu

Umeme wa Mashariki | Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(2): Kupigania Dhahabu

Umeme wa Mashariki | Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(2): Kupigania Dhahabu

Xiaozhen alipopata kipande kikubwa cha dhahabu, aliwaita marafiki wake ili wagawane. Kile ambacho hakutambua ni kwamba mara tu watu wanapoona dhahabu, asili nzuri na mbaya ya mwanadamu hujiweka wazi …

Jumatatu, 5 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Kusudi la Kuwasimamia Binadamu

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu
Umeme wa Mashariki | Kusudi la Kuwasimamia Binadamu
Umeme wa Mashariki | Kusudi la Kuwasimamia Binadamu

Mwenyezi Mungu alisema, Ikiwa watu wanaweza kweli kuielewa kikamilifu njia sahihi ya maisha ya binadamu na vilevile kusudi la usimamizi wa Mungu wa binadamu, wasingeshikilia mategemeo yao ya baadaye na majaliwa yao binafsi kama hazina mioyoni mwao. Wasingetamani tena kuwatumikia wazazi wao ambao ni wabaya zaidi kuliko nguruwe na mbwa. Je, mategemeo ya baadaye na majaliwa ya mwanadamu si kabisa kile kinachoitwa nyakati za sasa "wazazi" wa Petro? Yamekuwa kama tu mwili na damu ya mwanadamu. 

Umeme wa Mashariki | Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(1): Jiwe, Karatasi, Makasi

Umeme wa Mashariki Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(1): Jiwe, Karatasi, Makasi

Kikundi cha watoto wachangamfu, wanaopendeza kilikuwa kikicheza mchezo wakati, bila kufikiri, waliuliza swali lenye cha kali: "Wanadamu hutoka wapi?" Je, unalijua jibu la swali hili?

Jumapili, 4 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Tisa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mungu
Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Tisa
Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Tisa
Mwenyezi Mungu alisema, Mwenyezi Mungu alisema, Hebu twende nje ya maneno ya Mungu na tuzungumze kidogo juu ya masuala yanayohusu maisha yetu, ili maisha yetu yasitawi, na tufikie matumaini ya Mungu kwetu. Hasa, pamoja na ujaji wa leo—wakati wa kila mmoja kuainishwa kulingana na aina, na wa kuadibu—kuna haja kubwa ya kuyalenga mambo muhimu na kumakinikia "maslahi ya pamoja."

Umeme wa Mashariki | Gospel Video Swahili "Kanisa la Nafsi Tatu ni Mwavuli Wangu"

Umeme wa Mashariki | Gospel Video Swahili "Kanisa la Nafsi Tatu ni Mwavuli Wangu"

Wakati mmoja, serikali ya Kikomunisti ya Uchina iliwakamata Wakristo wengi wa Kanisa la Mwenyezi Mungu kutoka mahali fulani usiku wa manane. Jambo hili lilisababisha ghasia kubwa mahali hapo. Lilichochea majadiliano miongoni mwa washirika wa Kanisa la Nafsi Tatu. Watu wengine waliamini kwamba Umeme wa Mashariki umepitia ukandamizaji na mateso ya kikatili ya serikali ya kikomunisti ya Uchina.

Jumamosi, 3 Februari 2018

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho "Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote"

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho "Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote"

Mwenyezi Mungu alisema, "Kama wewe ni Mkristo wa kweli, basi hakika utaamini kwamba kupanda na kushuka kwa nchi ama taifa lolote hufanyika kulingana na miundo ya Mungu. Mungu pekee hujua majaliwa ya nchi ama taifa, na Mungu pekee hudhibiti mwendo wa huyu mwanadamu.