Jumamosi, 11 Novemba 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII

Mhutasari wa Mamlaka ya Mungu, Tabia ya Haki ya Mungu, na Utakatifu wa Mungu
Mwenyezi Mungu alisema: Mnapomaliza maombi yenu, je, mioyo yenu inahisi utulivu katika uwepo wa Mungu? (Ndiyo.) Ikiwa moyo wa mtu unaweza kutulizwa, ataweza kusikia na kuelewa neno la Mungu na ataweza kusikia na kuuelewa ukweli. Ikiwa moyo wako hauwezi kutulizwa, ikiwa moyo wako siku zote unayoyoma, au siku zote unafikiria juu ya mambo mengine, utaathiri kuja kwako pamoja kusikia neno la Mungu. Sasa, ni kitu gani cha msingi tunachokijadili wakati huu? Hebu sote turudi nyuma kidogo katika hoja kuu.

Ijumaa, 10 Novemba 2017

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI

Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI

Utakatifu wa Mungu (III)

Mwenyezi Mungu alisema: Mnahisi vipi baada ya kusema sala zenu? (Tunafurahia na kuguswa sana.) Wacha tuanze ushirika wetu. Tulishiriki mada ipi wakati uliopita? (Utakatifu wa Mungu.) Na ni kipengele kipi cha Mungu Mwenyewe kinahusisha utakatifu wa Mungu? Je, kinahusisha kiini cha Mungu? (Ndiyo.) Kwa hivyo ni nini hasa mada inayohusiana na kiini cha Mungu?

Umeme wa Mashariki | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V

Utakatifu wa Mungu (II)

Habari za jioni kila mtu! (Habari ya jioni Mwenyezi Mungu!) Leo, kaka na dada, hebu tuimbe wimbo. Tafuta mmoja ambao mnapenda na ambao mmeimba mara nyingi kabla. (Tungependa kuimba wimbo wa neno la Mungu “Upendo Safi Bila dosari.”)

Alhamisi, 9 Novemba 2017

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IV

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, ukweli

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IV

Utakatifu wa Mungu (I)

Mwenyezi Mungu alisema: Tumekuwa na ushirika wa ziada wa mamlaka ya Mungu leo, na hatutazungumza kuhusu haki ya Mungu sasa hivi. Leo tutazungumza kuhusu mada nzima mpya—utakatifu wa Mungu. Utakatifu wa Mungu pia ni kipengele kingine cha kiini cha kipekee cha Mungu, hivyo kuna umuhimu mkubwa wa kushiriki mada hii hapa.

Umeme wa Mashariki | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III

Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

 Umeme wa Mashariki | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III

Mamlaka ya Mungu (II)

Mwenyezi Mungu alisema: Leo tutaendelea na ushirika wetu kuhusu mada ya “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee.” Tayari tumekuwa na ushirika mara mbili katika mada hii, wa kwanza kuhusiana na mamlaka ya Mungu na wa pili kuhusiana na tabia ya haki ya Mungu. Baada ya kusikiliza ushirika huu mara mbili, je, umepata ufahamu mpya wa utambulisho wa Mungu, hadhi, na hali halisi?

Jumatano, 8 Novemba 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Biblia, Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II

Tabia ya Haki ya Mungu

Mwenyezi Mungu alisema: vile sasa mumesikiliza kikao cha ushirika uliopita kuhusu mamlaka ya Mungu, Ninao ujasiri kwamba mumejihami vilivyo na mseto wa maneno kuhusu suala hili. Kiwango unachoweza kukubali, kushika, na kuelewa vyote hivi vinategemea na jitihada zipi utakazotumia.

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
 Umeme wa Mashariki | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I

Mamlaka ya Mungu (I)

Vikao vyangu mbalimbali vya ushirika vilivyopita vilikuwa vinahusu kazi ya Mungu, tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe. Baada ya kuvisikiliza vikao hivi vya ushirika, je, unahisi kuwa umefaidi na kupata ufahamu na maarifa kuhusu tabia ya Mungu? Ufahamu wako na maarifa ni mkubwa kiwango gani? Je, unaweza kuweka nambari katika kiwango hicho?