Jumamosi, 4 Novemba 2017

Jinsi ya Kumjua Mungu Duniani

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Jinsi ya Kumjua Mungu Duniani

Mwenyezi Mungu alisema: Nyinyi nyote mna furaha kupokea tuzo mbele ya Mungu na kutambuliwa na Mungu. Haya ni matakwa ya kila mtu baada ya yeye kuanza kuwa na imani kwa Mungu, kwani mwanadamu kwa moyo wake wote hutafuta mambo yaliyo juu na hakuna aliye tayari kubaki nyuma ya wengine.

Ijumaa, 3 Novemba 2017

Je, Wajua? Mungu Amefanya Jambo Kubwa Miongoni Mwa Wanadamu

Umeme wa Mashariki | Je, Wajua? Mungu Amefanya Jambo Kubwa Miongoni Mwa Wanadamu

Mwenyezi Mungu alisema: Enzi ya zama ishaenda, na enzi mpya imefika. Mwaka baada ya mwaka na siku baada ya siku, Mungu amefanya kazi nyingi. Alikuja duniani, kisha Akaondoka. Mzunguko kama huu umeendelea kwa vizazi vingi.

Utakapouona Mwili wa Kiroho wa Yesu ndio Utakuwa Wakati Ambao Mungu Ametengeneza Upya Mbingu na Dunia

   Kanisa la Mwenyezi Mungu | Utakapouona Mwili wa Kiroho wa Yesu ndio Utakuwa Wakati Ambao Mungu Ametengeneza Upya Mbingu na Dunia


Mwenyezi Mungu alisema: Je, ungependa kumwona Yesu? Je, ungependa kuishi na Yesu? Je, ungependa kusikia maneno yaliyonenwa na Yesu? Iwapo ni hivyo, basi utakaribishaje, kurudi kwa Yesu? Je, uko tayari kabisa? Utakaribisha kurudi kwa Yesu kwa namna gani? Nafikiri kuwa kila ndugu na dada wanaomfuata Yesu wangependa kumpa Yesu makaribisho mazuri. Lakini Je, mmewaza iwapo utamjua Yesu Atakaporejea? Je, mtaelewa kila kitu Atakachosema? Je, mtakubali bila masharti, kila kazi ambayo Anafanya?

Alhamisi, 2 Novemba 2017

Mungu na Mwanadamu Wataingia Rahani Pamoja

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mungu na Mwanadamu Wataingia Rahani Pamoja




Mwenyezi Mungu alisema: Mwanzoni, Mungu alikuwa anapumzika. Hakukuwa na binadamu ama kitu chochote kingine duniani wakati huo, na Mungu hakuwa amefanya kazi yoyote ile. Mungu alianza tu kazi Yake ya usimamizi baada ya binadamu kuwepo na baada ya binadamu kupotoshwa. Kutoka hapa kuendelea, Mungu hakupumzika tena lakini badala yake Alianza kufanya kazi miongoni mwa binadamu.

Kurejesha Maisha ya Kawaida ya Mwanadamu na Kumpeleka Kwenye Hatima ya Ajabu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kurejesha Maisha ya Kawaida ya Mwanadamu na Kumpeleka Kwenye Hatima ya Ajabu




Mwanadamu anaelewa sehemu ndogo ya kazi ya leo na kazi ya baadaye, lakini hafahamu hatima ambapo mwanadamu ataingia. Kama kiumbe, mwanadamu anapaswa kutekeleza wajibu wa kiumbe: Mwanadamu anapaswa kumfuata Mungu kwa lolote afanyalo, na mnapaswa muendelee mbele kwa njia yoyote ambayo Nitawaambia. Wewe huna mbinu ya kufanya mipango yako mwenyewe, na huna uwezo wa kujitawala mwenyewe; yote ni lazima yaachwe kwa rehema za Mungu, na kila kitu kinadhibitiwa na mikono Yake.

Jumatano, 1 Novemba 2017

Kiini Cha Kristo ni Utiifu kwa Mapenzi ya Baba Wa Mbinguni

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kiini Cha Kristo ni Utiifu kwa Mapenzi ya Baba Wa Mbinguni

Mwenyezi Mungu alisema: Mungu mwenye mwili Anaitwa Kristo, na Kristo ni mwili uliovishwa na Roho wa Mungu. Mwili huu ni tofauti na wa mwanadamu yeyote aliye wa nyama. Tofauti hii ni kwa sababu Kristo sio wa mwili na damu bali ni mwili wa Roho. Anao ubinadamu wa kawaida na uungu kamili. Uungu Wake haujamilikiwa na mwanadamu yeyote.

Kazi ya Mungu na Utendaji wa Mwanadamu

Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu

   Umeme wa Mashariki | Kazi ya Mungu na Utendaji wa Mwanadamu



Kazi ya Mungu miongoni mwa mwanadamu haitengani na mwanadamu, kwa kuwa mwanadamu ni chombo cha kazi hii na kiumbe wa pekee aliyeumbwa na Mungu anayeweza kutoa ushuhuda kwa Mungu. Maisha ya mwanadamu na shughuli zake zote havitengani na Mungu, na vyote vinaongozwa na mkono wa Mungu, na inaweza kusemwa kuwa hakuna mtu anayeweza kuishi bila Mungu. Hakuna anayeweza kupinga hili, kwani ndio ukweli. Kila Akifanyacho Mungu ni kwa faida ya mwanadamu, na kinalenga hila za Shetani.