Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kiini-Cha-Kristo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kiini-Cha-Kristo. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 1 Novemba 2017

Kiini Cha Kristo ni Utiifu kwa Mapenzi ya Baba Wa Mbinguni

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kiini Cha Kristo ni Utiifu kwa Mapenzi ya Baba Wa Mbinguni

Mwenyezi Mungu alisema: Mungu mwenye mwili Anaitwa Kristo, na Kristo ni mwili uliovishwa na Roho wa Mungu. Mwili huu ni tofauti na wa mwanadamu yeyote aliye wa nyama. Tofauti hii ni kwa sababu Kristo sio wa mwili na damu bali ni mwili wa Roho. Anao ubinadamu wa kawaida na uungu kamili. Uungu Wake haujamilikiwa na mwanadamu yeyote.