Alhamisi, 7 Septemba 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Maonyo Matatu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Maonyo Matatu


Mwenyezi Mungu alisema, Kama muumini wa Mungu, hufai kuwa watiifu kwa yeyote mwingine isipokuwa Yeye katika mambo yote na mjilinganishe na moyo Wake katika mambo yote. Hata hivyo, ingawa wote huelewa mafundisho haya, ukweli huu wa kimsingi ulio wazi kabisa kwa binadamu hauwezi kuonekana kuwa kujumuishwa kwao kikamilifu, kutokana na ugumu wao, kama vile hali yao ya kutojua, upuzi, au ufisadi. Kwa hivyo, kabla ya kuuamua mwisho wenu, Ninafaa kuwaambia kwanza baadhi ya mambo, ambayo ni yenye umuhimu mkubwa sana kwenu.

Jumatano, 6 Septemba 2017

Mwenyezi Mungu | Ni Muhimu Sana Kuelewa Tabia ya Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa MasharikiMwenyezi Mungu | Ni Muhimu Sana Kuelewa Tabia ya Mungu

Kunayo mambo mengi ambayo Ninatumai mtaweza kufikia. Hata hivyo, matendo yenu na maisha yenu yote hayawezi kutimiza kwa ujumla mahitaji Yangu, kwa hiyo lazima Nilenge suala moja kwa moja na kuwafafanulia moyo na akili Zangu. Tukichukulia kwamba uwezo wenu wa utambuzi na ufahamu wenu vyote ni duni sana, karibu mmekosa kabisa kujua tabia na dutu Yangu, na hivyo ni suala la dharura kwangu Mimi kuwafahamisha kuhusu haya.

Jumanne, 5 Septemba 2017

Unapaswa Kutayarisha Matendo Mema ya Kutosha kwa ajili ya Hatima Yako

Unapaswa Kutayarisha Matendo Mema ya Kutosha kwa ajili ya Hatima Yako

Mwenyezi Mungu alisema, Nimefanya kazi nyingi miongoni mwenu na, bila shaka, Nimetamka mengi pia. Hata hivyo, Nahisi kwamba maneno na kazi Yangu havijatimiza lengo la kazi Yangu ya siku za mwisho kikamilifu. Maana, katika siku za mwisho, kazi Yangu si kwa ajili ya mtu au watu fulani, bali ni kwa manufaa ya kufafanua tabia Yangu asilia. Hata hivyo, kutokana na sababu nyingi—pengine ukosefu wa muda au shughuli nyingi za kazi—tabia Yangu haijamwezesha binadamu kunijua hata kidogo.

Jumatatu, 4 Septemba 2017

Kingdom Praise Musical Drama—Every Nation Worships the Practical God

Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kingdom Praise Musical Drama—Every Nation Worships the Practical God (Coming soon!) Under a starry, quiet and peaceful night sky, a group of Christians earnestly awaiting the return of the Savior sing and dance to cheerful music. When they hear the joyful news “God has returned” and “God has uttered new words”, they are surprised and excited. They think: “God has returned? He has already appeared?!” With curiosity and uncertainty, one after another, they step into the journey of seeking God’s new words. In their arduous seeking, some people are questioning while others simply accept it. Some people look on without comment, while others make suggestions and search for answers in the Bible—they look but in the end it is fruitless…. Just when they become discouraged, a witness brings them a copy of the Age of Kingdom Bible, and they are deeply attracted to the words in the book. What kind of book is this really? Have they actually found the new words that God has uttered in that book? Have they welcomed the appearance of God? If you want to know more about Almighty God’s work in the last days, please visit the official website of the Church of Almighty God. https://www.holyspiritspeaks.org/  #wisdom #Worship#scripture #gospel #heaven#holyspirit #word #blessed#prayer  #Righteous #mercy#love  #hope#glory #wisevirgin #Bible
The Church Of Almighty God(@thechurchofalmightygod)分享的貼文 於 張貼


Ijumaa, 1 Septemba 2017

Je, Wewe ni Muumini wa Kweli wa Mungu?

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Je, Wewe ni Muumini wa Kweli wa Mungu?


Huenda ikawa safari yako ya imani katika Mungu imekuwa ndefu zaidi ya mwaka mmoja au miwili, na labda kwa maisha yako umestahimili ugumu mwingi miaka hii yote; au labda haujapitia ugumu na badala yake umepokea neema nyingi. Kuna uwezekano pia kuwa hujapitia ugumu wala kupokea neema, na badala yake umeishi maisha ya kawaida tu. Hiyo haijalishi, kwani wewe bado u mfuasi wa Mungu, kwa hivyo tushirikiane kuhusu mada ya kumfuata Mungu.