Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Utongoaji-wa-Neno-la-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Utongoaji-wa-Neno-la-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 18 Novemba 2018

Maonyesho ya Mungu | "Mungu Ndiye Chanzo cha Uhai wa Mwanadamu"

Maonyesho ya Mungu | "Mungu Ndiye Chanzo cha Uhai wa Mwanadamu"

Mwenyezi Mungu anasema, "Chanzo cha uhai hutoka kwa Mungu, kwa viumbe vyote, haijalishi tofauti katika maumbile au muundo. Hata uwe kiumbe hai cha aina gani, huwezi kwenda kinyume na njia ya maisha ambayo Mungu ameweka. Katika hali yoyote, kile Napenda ni kuwa mwanadamu aelewe kwamba bila huduma, utunzaji, na utoaji wa Mungu, mwanadamu hawezi kupokea yote aliyokusudiwa kupokea, haijalishi juhudi au mapambano yake.