Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kutatua-Asili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kutatua-Asili. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 5 Desemba 2017

Sura ya 11. Kutatua Asili na Kutenda Ukweli

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kutenda Ukweli

Sura ya 11. Kutatua Asili na Kutenda Ukweli

1. Uhusiano Kati ya Ubinadamu na Uwezo wa Kutenda Ukweli
Mwenyezi Mungu alisema, Watu husema kuwa kutenda ukweli ni vigumu kabisa. Basi mbona watu wengine wanaweza kutenda ukweli? Watu wengine husema ni kwa sababu kwa asili wanaipokea kazi ya Roho Mtakatifu ikifanya kazi juu yao, na pia kwa sababu ni wazuri kiasili.