Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kupata-Mwili-Ni- Nini. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kupata-Mwili-Ni- Nini. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 6 Julai 2019

1. Mungu amekuwa mwili nchini China katika siku za mwisho; ni msingi gani upo kwa jambo hili katika unabii wa Biblia na katika maneno ya Mungu?

XIII. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Uhimu wa Mungu Kuwa Mwili Nchini China Katika Siku za Mwisho
1. Mungu amekuwa mwili nchini China katika siku za mwisho; ni msingi gani upo kwa jambo hili katika unabii wa Biblia na katika maneno ya Mungu?
Aya za Biblia za Kurejelea:

“Kwa kuwa kuanzia kuchomoka kwa jua hadi hata kutua kwake jina langu litakuwa kubwa miongoni mwa Mataifa” (Malaki 1:11).

“Kwa kuwa kama umeme unavyotokea mashariki, na kumulika pia magharibi; ujio wa Mwana wa Adamu utakawa hivyo pia” (Mathayo 24:27).
Maneno Husika ya Mungu:

Katika maeneo mengi, Mungu Alitabiri kupata kundi la washindi katika nchi ya Sinim. Ni upande wa Mashariki mwa ulimwengu ambapo washindi wanapatikana, hivyo nchi ambapo Mungu kupata mwili mara ya pili Atatua bila shaka ni nchi ya Sinim, mahali ambapo joka jekundu linaishi. Hapo Mungu Atawapata warithi wa joka kuu jekundu na litashindwa na kuaibishwa.