Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Chanzo-cha-Uhai. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Chanzo-cha-Uhai. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 4 Novemba 2017

Mungu Ndiye Chanzo cha Uhai wa Mwanadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mungu Ndiye Chanzo cha Uhai wa Mwanadamu


Mwenyezi Mungu alisema: Tangu unapoingia katika dunia hii ukilia, unaanza kutekeleza wajibu wako. Unachukua jukumu lako katika mpango wa Mungu na katika utaratibu wa Mungu. Unaanza safari ya maisha. Licha ya asili yako na licha ya safari iliyoko mbele yako, hakuna kitakachoepuka mpango na utaratibu ambao mbingu imeweka, na hakuna aliye na udhibiti wa hatima yake, kwa maana Anayetawala juu ya kila kitu ndiye tu Aliye na uwezo wa kazi hiyo.