Jumanne, 28 Agosti 2018

Swahili Gospel Song Video "Shukrani na Sifa kwa Mwenyezi Mungu" | God Guided Me to a New Life

Swahili Gospel Song Video "Shukrani na Sifa kwa Mwenyezi Mungu" | God Guided Me to a New Life

I
Tumeletwa mbele ya Mungu. Maneno Yake tunakula na kunywa.
Roho Mtakatifu anatupa nuru, tunaelewa ukweli anaonena Mungu.
Mila za dini, tumezitupa, minyororo yote. Isiyozuiliwa na sheria, mioyo yetu inawekwa huru.
Na sisi tunafurahi iwezekanavyo, tukiishi katika nuru ya Mungu,
kufurahi iwezekanavyo, kuishi katika nuru ya Mungu.

Jumatatu, 27 Agosti 2018

Swahili Gospel Choir Song "Ufalme" | New Jerusalem Has Come Down Out of Heaven

Swahili Gospel Choir Song "Ufalme" | New Jerusalem Has Come Down Out of Heaven

Ufalme, mji wa watakatifu, ufalme wa Kristo.
Katika ufalme, utajiri na utukufu wa Mungu hudhihirishwa.
Umeme unatoka Mashariki na kuangaza hadi Magharibi.
Mwanga wa kweli uko hapa, neno la Mungu limeonekana katika mwili.
Mwokozi amesharudi, akishuka juu ya wingu jeupe.

Jumapili, 26 Agosti 2018

Swahili Christian Musical Drama "Hadithi ya Xiaozhen" | Mungu ni upendo

Swahili Christian Musical Drama "Hadithi ya Xiaozhen" | Mungu ni upendo

Xiaozhen alikuwa Mkristo mwenye moyo safi, ulio na huruma, ambaye kila wakati alikuwa akiwashughulikia wenzake kwa uaminifu. Hata hivyo, ilipokuwa ni kwa manufaa yao, marafiki wake wa awali waligeuka na kuwa maadui wake. Baada ya kuteseka kutokana na msiba huu, Xiaozhen alilazimika kuuacha moyo wake wa kweli na kanuni zake za awali. Alianza kuisaliti dhamiri yake mwenyewe iliyo nzuri na roho safi, na kugaagaa katika kinamasi cha ulimwengu mbaya. … Huku akianguka kutoka kwa rehema na kutembea katika njia ya upotovu, alikanyagwa na ulimwengu na kukung'utwa na makovu na vilio. Alikuwa amefika mwisho kabisa, na katika wakati wa kukata tamaa wakati alikuwa amepoteza matumaini yote, mwishowe mwito wa kuaminika wa Mwenyezi Mungu ukauamsha moyo na roho ya Xiaozhen …


Tufuate:Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Jumamosi, 25 Agosti 2018

Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (2): Kupigania Dhahabu

Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (2): Kupigania Dhahabu

Xiaozhen alipopata kipande kikubwa cha dhahabu, aliwaita marafiki wake ili wagawane. Kile ambacho hakutambua ni kwamba mara tu watu wanapoona dhahabu, asili nzuri na mbaya ya mwanadamu hujiweka wazi …

Ijumaa, 24 Agosti 2018

Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (4): Upotovu

Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (4): Upotovu

Akiwa amekumbwa na ulimwengu mbaya na ukweli mkali, katika huzuni, Xiaozhen aliacha uaminifu wake na kung'ang'ana kuvaa kinyago. Kutoka wakati huo na kuendelea, alipotea …

Alhamisi, 23 Agosti 2018

Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (6): Kurudi

Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (6): Kurudi

Mwenyezi Mungu anasema, "Unapokuwa umechoka na unapoanza kuona huzuni katika ulimwengu huu, usifadhaike, usilie. Mwenyezi Mungu, Mlinzi, atakaribisha kuwasili kwako wakati wowote. Yupo pembeni mwako Anakuangalia, anakusubiri uweze kumrudia. Anasubiri siku ambayo kumbukumbu zako zitarejea" (Neno Laonekana katika Mwili) Jinsi tu Xiaozhen aliachwa akiwa ameviliwa na kupigwa na ulimwengu huu na alijitoa mwenyewe kwa kukata tamaa, upendo wa Mwenyezi Mungu ulimjia na moyo wake ukaamshwa …


Kujua zaidi : Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu

Jumatano, 22 Agosti 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu "Upendo Safi Bila Dosari" | What Is It to Truly Love God?

Wimbo wa Maneno ya Mungu "Upendo Safi Bila Dosari" | What Is It to Truly Love God?

I
Upendo ni hisia safi, safi bila dosari.
Tumia moyo, tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.
Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga.
Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.
Ukipenda hudanganyi, hulalamiki, hugeuki,
hutazamii kupata kitu, cha malipo.
Ukipenda utajitolea, ukubali taabu, kuwa kimoja, Mungu katika mapatano.

II
Upendo hauna shauku, ujanja wala uongo.