Alhamisi, 19 Aprili 2018

2018 Best African Worship Songs "Miaka Elfu Mbili ya Kungoja" | Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu

2018 Best African Worship Songs "Miaka Elfu Mbili ya Kungoja" | Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu


Kwamba Mungu amekuwa mwili
hutikisa ulimwengu wa kidini,
inavuruga utaratibu wa kidini,
na inakoroga roho za wale
wanaongoja kuonekana kwa Mungu.
Nani asiyeshangazwa na haya?
Ni nani asiye na hamu ya kumwona Mungu?

Jumatano, 18 Aprili 2018

"Mji Utaangushwa" (4) - Je, Kufafanua Biblia ni Sawa na Kutukuza na Kutoa Ushuhuda kwa Mungu?

"Mji Utaangushwa" (4) - Je, Kufafanua Biblia ni Sawa na Kutukuza na Kutoa Ushuhuda kwa Mungu?


    Watu wengi katika ulimwengu nzima wa dini huamini kwamba wale ambao wanaweza zaidi kueleza Biblia ni watu wanaomjua Mungu, na kwamba kama wao pia wanaweza kufafanua siri za Biblia na kueleza unabii, basi wao ni watu ambao hufuata mapenzi ya Mungu, na wanatukuza na kutoa ushuhuda kwa Mungu. Watu wengi, kwa hiyo, wana imani ya ujinga kwa mtu wa aina hii na humuabudu.

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Nne

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Nne



Mwenyezi Mungu alisema, Ili kuwazuia watu wote kutiwa kiburi na kujisahau baada ya mabadiliko yao kutoka kwa ubaya hadi kwa uzuri, katika fungu la maneno la mwisho la matamshi ya Mungu, mara tu Mungu akishazungumza kuhusu matakwa yake ya juu zaidi kwa watu Wake—mara tu Mungu akishawaambia watu kuhusu mapenzi Yake katika hatua hii ya mpango wa usimamizi Wake—Mungu huwapa nafasi ya kuyatafakari maneno Yake, kuwasaidia kufanya uamuzi wa kuridhisha mapenzi ya Mungu mwishowe.

Jumanne, 17 Aprili 2018

"Mji Utaangushwa" (3) - Ni Nini Kiini cha Upinzani wa Mafarisayo kwa Mungu?

"Mji Utaangushwa" (3) - Ni Nini Kiini cha Upinzani wa Mafarisayo kwa Mungu?


    Kwa miaka elfu mbili, ingawa waumini wote wamejua ukweli kwamba Mafarisayo walimwasi Bwana Yesu, hakuna mtu katika ulimwengu mzima wa dini anayejua hasa mzizi wa chanzo na kiini cha uasi wa Mafarisayo kwa Mungu ni nini. Ni katika kuja kwa Mwenyezi Mungu tu katika siku za mwisho ndiyo ukweli wa swali hili unaweza kufichuliwa. Mwenyezi Mungu asema, "Mafarisayo hawa kwa dutu walikuwa wakaidi, wenye kiburi na hawakutii ukweli.

Unapaswa Kuishi Kwa Ajili Ya Ukweli Kwa Maana Unamwamini Mungu

Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Unapaswa Kuishi Kwa Ajili Ya Ukweli Kwa Maana Unamwamini Mungu

Unapaswa Kuishi Kwa Ajili Ya Ukweli Kwa Maana Unamwamini Mungu


MwenyeziMungu alisema, Tatizo la kawaida lililo miongoni mwa binadamu wote ni kwamba wao huuelewa ukweli lakini hawawezi kuuweka katika matendo. Sababu moja ni kwamba binadamu hana nia ya kulipa gharama, na sababu nyingine ni kwamba utambuzi wa mwanadamu ni duni mno; hawezi kuona zaidi ya ugumu mwingi ulio katika hali halisi ya maisha na hajui jinsi ya kutenda kwa njia inayofaa.

Jumatatu, 16 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | "Mji Utaangushwa" (1) - Ulimwengu wa Dini Umepotoka na kuwa Mji wa Babeli

Umeme wa Mashariki | "Mji Utaangushwa" (2) - Mbona Dhiki Imewafika Mafarisayo Wanafiki?


    Viongozi wa ulimwengu wa dini wanapotea toka kwenye njia ya Bwana na kufuata mitindo ya kidunia, pia wao hushirikiana na uasi mkali wa mamlaka ya utawala na shutuma ya Umeme wa Mashariki, na tayari wameanza kutembea kwenye njia ya upinzani kwa Mungu. Ulimwengu wa dini umepotoka na kuwa mji wa Babeli.

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Kwanza

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Kwanza



Mwenyezi Mungu alisema, Kama tu Mungu alivyosema, “Hakuna anayeweza kuelewa mzizi wa maneno Yangu, wala kusudi la maneno haya. Kama Isingekuwa uongozi wa Roho wa Mungu, kama isingekuwa kwa majilio ya maneno Yake, wote wangeangamia chini ya kuadibu Kwake. Ni kwa nini Mungu humjaribu mwanadamu kwa muda mrefu hivyo? Na kwa muda mrefu kama miezi mitano? Hili ndilo wazo la kulenga la ushirika wetu na vilevile wazo kuu katika hekima ya Mungu.